Wewe Mfamaji ameharibu wapi? Unayaamini maneno hayo kwamba alikuwa akikusanya mamilioni ya shilingi kila alipokuwa akipita. Hizi ni siasa za maji taka toka kwa watu wa kasikazini.Watz wengine sijui wakoje.Yaani mtu anaharibu nyie mnasema amekubalika.Very strange.Ushajlbiki unaondoa ufahamu jielewe
mbon unakuwa mjinga mjinga muhongo kajipalia makaa mwenyw labda nijibu kwanza hapa
je pesa za escrow ziliibiwa hazikuibiwa?
na je ufisadi huo ulifanyika katika wizara gani?
Magufuli siyo msafi na hajawahi kuwa msafi.....
Wewe ni shabiki usiyejua inside of the game! Endelea kubaki hivyo hivyo tu! One question for you....Prof. Muhongo alipewa mgawo wa shs ngapi za Escrow? Ukijibu hilo tu nitakujibu maswali yako yote. Usipoweza kaa kimya!
Wakuu
Katika wakati huu ambapo Wizara ya Ujenzi iliyo chini ya Waziri John Pombe Magufuli inaandamwa na Kashfa mpya ya Kivuko cha MV Dar es salaam inaonekana kuna madudu mengi sana ambayo Watanzania hawakuwa wakuyajua kuhusu Wizara husika hasa kutokana na Charisma ya Magufuli aliyejijengea taswira ya kuwa Waziri Mchapaka.
Nyaraka kadhaa nilizozipata kutoka katika Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) zinaonyesha namna Wizara husika (Kupitia Mawaziri wake Magufuli, aliyekuwa Naibu Waziri Harrison Mwakyembe na aliyekuwa Waziri wa Sera, Uratibu na Bunge Lukuvi) ilivyolidanganya Bunge (Kwa kufanya Matumizi ya Kasima ya Wizara husika kinyume na Matumizi ya Kibajeti yaliyoidhinishwa na Bunge.
![]()
Si hilo tu la kulidanganya Bunge lakini pia pesa za umma zilichotwa na Wajanja Wizarani hapo, Malipo ya zaidi ya Bilioni 77 ambayo Wizara husika inadai kuyafanya kupitia BoT yamekanushwa na Gavana wa Benki Kuu kama inavyoonyeshwa kwenye Ripoti ya CAG
Kuna Madudu zaidi yanaonekana katika namna fedha zilivyotumika kama inavyoonyesha kwenye ripoti ya CAG
![]()
Mengine nitayaleta kadiri muda Utakavyopenda
Ndugu yenu
Wambeke