gfsonwin katika hali ya kawaida, matumizi hubadilika nje ya yalivyopangwa.
Kwa kuwa Serikali ni taasisi na si mtu binafsi, kuna taratibu (budget management) za kubadili matumizi ya kibajeti nje ya yale yaliyopitishwa awali (na bunge)
Swali ni je taratibu zote za kubadilishwa kwa matumizi hayo zilifuatwa?? Kama hazikufuatwa, ni kwa nini??
Hapo ndipo uhalali wa CAG kuhoji unapokuja maana kazi ya mkaguzi sio tu kuangalia matumizi bali compliance kwenye namna matumizi hayo yalivyofanyika kuendana na taratibu/miongozo iliyopo