Ka rushwaTemporary password/permit...20K plus ka rushwa ka 5K or 10K.
Pili ni chanjo ya manjano kama hujawahi kuchanjwa, hii ni 30K plus ka rushwa ka 5K.
Muhimu currently ni chanjo ya Covid 19, hii ni bure, but uwakomalie wakupe certificate.
Kingine ni work permit or business permit ya huko Zambia, hii utaipatia pale Tunduma border kama utaenda kwa basi au Airport Lusaka kama utaenda by air.
Kila la kheri...
Asante sana,ngoja nijiandae mkuuTemporary password/permit...20K plus ka rushwa ka 5K or 10K.
Pili ni chanjo ya manjano kama hujawahi kuchanjwa, hii ni 30K plus ka rushwa ka 5K.
Muhimu currently ni chanjo ya Covid 19, hii ni bure, but uwakomalie wakupe certificate.
Kingine ni work permit or business permit ya huko Zambia, hii utaipatia pale Tunduma border kama utaenda kwa basi au Airport Lusaka kama utaenda by air.
Kila la kheri...
Amekwambia yupo Dar?Nenda Hospitali ya Mnazi mmoja utaipata kwa 30,000.
Pia jitahidi uchomwe na uwe na cheti cha chanjo ya Corona.
Pia andaa pesa ya kupimwa corona kama dola 25 hadi 30 utakapofika huko
Border ipi hapa duniani inayotowa work permit?Temporary password/permit...20K plus ka rushwa ka 5K or 10K.
Pili ni chanjo ya manjano kama hujawahi kuchanjwa, hii ni 30K plus ka rushwa ka 5K.
Muhimu currently ni chanjo ya Covid 19, hii ni bure, but uwakomalie wakupe certificate.
Kingine ni work permit or business permit ya huko Zambia, hii utaipatia pale Tunduma border kama utaenda kwa basi au Airport Lusaka kama utaenda by air.
Kila la kheri...
kama una valid passport, una chanjo ya corona na pesa zako za matumizi - kwea pipa hakuna cha ziada hapo mengine utakatapo huko huko.Habari wakuu?
Nimepata safari ya kwenda Zambia kuna shughuli halali naenda kuifanya huko ktk kujitafutia kipato.
Swali:
1. Je, ni nyaraka gani muhimu niwe nazo na ninazipata wapi?
2. Zitanigharimu kiasi gani kuzipata hizo nyaraka?
Asanteni sana.....
Kadi ya kuthibitisha umechanjwa homa ya manjano.Habari wakuu?
Nimepata safari ya kwenda Zambia kuna shughuli halali naenda kuifanya huko ktk kujitafutia kipato.
Swali:
1. Je, ni nyaraka gani muhimu niwe nazo na ninazipata wapi?
2. Zitanigharimu kiasi gani kuzipata hizo nyaraka?
Asanteni sana.....
Huyu wa kupanda gari za IT, huko kwenye kukwea pipa ni watu wa safari ndefu, anasave pesa kibao.kama una valid passport, una chanjo ya corona na pesa zako za matumizi - kwea pipa hakuna cha ziada hapo mengine utakatapo huko huko.
Hii yellow fever kumbe muhimu eeh ... Kwa dar nachoma wapi? Maana nataka nikashangae kidogo Kigali..1. Hela kkkk
2. Passport/Pasi ya kusafiria
3. Card ya Yellow fever.
Ni hivyo tu basi.
Mipakani kote wanachoma. Pia na Hosp ya Mnazi Mmoja.Hii yellow fever kumbe muhimu eeh ... Kwa dar nachoma wapi? Maana nataka nikashangae kidogo Kigali..
Sawa asante mkuu..Mipakani kote wanachoma. Pia na Hosp ya Mnazi Mmoja.
Hii chanjo ya corona si ni kwa watu walio kwenye makundi maalum, vip nje ya hapo inakuwaje utaratibu wake?kama una valid passport, una chanjo ya corona na pesa zako za matumizi - kwea pipa hakuna cha ziada hapo mengine utakatapo huko huko.
Border zote wanachoma,nenda tunduma borderAsante sana,hii yellow fever card inapatikana wapi. Na nina uhakika sijawahi kupimwa hii kitu
Kazi kukesha kwenye mitandao isiyokuwa na faida tu.Hii chanjo ya corona si ni kwa watu walio kwenye makundi maalum, vip nje ya hapo inakuwaje utaratibu wake?