Nyaraka muhimu kusafiri nje ya nchi

Kajole

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
1,667
1,642
Habari wakuu?

Nimepata safari ya kwenda Zambia kuna shughuli halali naenda kuifanya huko ktk kujitafutia kipato.

Swali:
1. Je, ni nyaraka gani muhimu niwe nazo na ninazipata wapi?
2. Zitanigharimu kiasi gani kuzipata hizo nyaraka?

Asanteni sana.....
 
Temporary password/permit...20K plus ka rushwa ka 5K or 10K.

Pili ni chanjo ya manjano kama hujawahi kuchanjwa, hii ni 30K plus ka rushwa ka 5K.

Muhimu currently ni chanjo ya Covid 19, hii ni bure, but uwakomalie wakupe certificate.

Kingine ni work permit or business permit ya huko Zambia, hii utaipatia pale Tunduma border kama utaenda kwa basi au Airport Lusaka kama utaenda by air.

Kila la kheri...
 
Ka rushwa
 
1. Hela kkkk
2. Passport/Pasi ya kusafiria
3. Card ya Yellow fever.

Ni hivyo tu basi.
 
Asante sana,ngoja nijiandae mkuu
 
1. Hela kkkk
2. Passport/Pasi ya kusafiria
3. Card ya Yellow fever.

Ni hivyo tu basi.
Asante sana,hii yellow fever card inapatikana wapi. Na nina uhakika sijawahi kupimwa hii kitu
 
Nenda Hospitali ya Mnazi mmoja utaipata kwa 30,000.

Pia jitahidi uchomwe na uwe na cheti cha chanjo ya Corona.

Pia andaa pesa ya kupimwa corona kama dola 25 hadi 30 utakapofika huko
 
Temporary password/permit...20K plus ka rushwa ka 5K or 10K.

Pili ni chanjo ya manjano kama hujawahi kuchanjwa, hii ni 30K plus ka rushwa ka 5K.

Muhimu currently ni chanjo ya Covid 19, hii ni bure, but uwakomalie wakupe certificate.

Kingine ni work permit or business permit ya huko Zambia, hii utaipatia pale Tunduma border kama utaenda kwa basi au Airport Lusaka kama utaenda by air.

Kila la kheri...
Border ipi hapa duniani inayotowa work permit?
 
Habari wakuu?

Nimepata safari ya kwenda Zambia kuna shughuli halali naenda kuifanya huko ktk kujitafutia kipato.

Swali:
1. Je, ni nyaraka gani muhimu niwe nazo na ninazipata wapi?
2. Zitanigharimu kiasi gani kuzipata hizo nyaraka?

Asanteni sana.....
kama una valid passport, una chanjo ya corona na pesa zako za matumizi - kwea pipa hakuna cha ziada hapo mengine utakatapo huko huko.
 
Kadi ya kuthibitisha umechanjwa homa ya manjano.
Uthibitisho wa kutokuwa na maambukizi ya COVID-19
Uthibitisho wa chanjo ya COVID-19
Uwe na passport
 
kama una valid passport, una chanjo ya corona na pesa zako za matumizi - kwea pipa hakuna cha ziada hapo mengine utakatapo huko huko.
Huyu wa kupanda gari za IT, huko kwenye kukwea pipa ni watu wa safari ndefu, anasave pesa kibao.
 
kama una valid passport, una chanjo ya corona na pesa zako za matumizi - kwea pipa hakuna cha ziada hapo mengine utakatapo huko huko.
Hii chanjo ya corona si ni kwa watu walio kwenye makundi maalum, vip nje ya hapo inakuwaje utaratibu wake?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom