Hahaha, hii makitu inaitwa matunduja aka nyanya pori. Bibi yangu alikuwa anapikia msele (mlenda flani tulikuwa tunauita wa spesho. Unakuwa unga tu, unakorogewa kwenye nyanya na kitunguu zilizopikwa kuiva na maji). Kitu ilikuwa delicacy ya kufa mtu (save the killed chickens).