Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 2,209
- 4,706
Huyo aliyefariki ni Mke wa tatu wa Babu yake mzaa BabaPoleni wafiwa.ni bibi mzaa mama yake obama au ni bibi mzaa baba yake obama?
Bibi yake Mzaa Baba alifariki 2006 akiitwa HABIBA AKUMU