Nyanya wa Barack Obama, Bi Sarah Obama afariki dunia

Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
16,017
16,427
Nyanya (Bibi) wa Barack Obama amefariki. Habari hii ya huzuni imetangazwa na Ktn news. Pole kwa familia ya Obama. Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi.

--
Mama Sarah had been sick for a while and died while undergoing treatment at Jaramogi Oginga Odinga Teaching and Referral Hospital in Kisumu.

She was the third wife of Hussein Obama and she died at the age of 99.

Mama Sarah, who is a strong believer of the Islamic faith, will be buried in Kogelo today per religious customs.

Former Prime Minister and ODM leader Raila Odinga has mourned Mama Sarah as a “matriarch who lived ahead of her time” and “a symbol of the resilience and confidence of the African woman with a unique capacity to face the challenges of life.”

Pia soma > Barack Obama amuomboleza bibi yake kutoka Kenya kwa kuandika maneno haya

1.jpeg
2.jpg


 
Huyo siyo nyanya, bali ni bibi. Nyanya ni mama wa bibi.
Anyways poleni kwa msiba familia ya Obama.
 
Bibi yake Rais Obama aliyemzaa Baba yake mzazi anaitwa Habiba Akumu Obama na alifariki 2006.

Sara Obama ni mke wa 3 wa Babu yake Rais Obama

Sarah Onyango Obama (b. 1922)
Main article: Sarah Onyango Obama
Sarah Onyango Obama was the third wife of Obama's paternal grandfather.[123] She is known for short as Sarah Obama; she is sometimes referred to as Sarah Ogwel, Sarah Hussein Obama, or Sarah Anyango Obama.[124] She lives in Nyang'oma Kogelo village, 30 miles west of western Kenya's main town, Kisumu, on the edge of Lake Victoria.[125][126] (She should not be confused with her stepdaughter of the same name, Sarah Obama, a daughter of Onyango's second wife Akumu.)[127]

Although she is not a blood relation, Barack Obama calls her "Granny Sarah".[124][128] Sarah, who speaks Luo and only a few words of English, communicates with President Obama through an interpreter.

On July 4, 2008, Sarah Obama attended the United States Independence Day celebrations in Nairobi, hosted by Michael Ranneberger, the US ambassador in Kenya.[129]
 
Back
Top Bottom