Nyanya wa Barack Obama, Bi Sarah Obama afariki dunia

Poleni wafiwa.ni bibi mzaa mama yake obama au ni bibi mzaa baba yake obama?

Hakumzaa Baba yake wala Mama yake

Ni mke wa 3 wa Babu yake Mzaa Baba yake

Bibi yake mzaa Baba yake aitwa Habiba

Sara anaitwa Bibi yake kwa heshima ya kuolewa na Babu yake na pia hata yeye alipenda muita hivyo
 
Huyo siyo nyanya, bali ni bibi. Nyanya ni mama wa bibi.
Anyways poleni kwa msiba familia ya Obama.
Kwani wewe ndio ulivumbua lugha ya kiswahili? Leta evidence kwa kamusi au ukae kimya. Malofa kama wewe mnaojifanya mlivumbua lugha ya kiswahili ilhali mlianguka somo la kiswahili shuleni.
 
Historia fupi ya Bibi Mzaa Baba wa Rais Obama Habiba Akumu Obama

Habiba Akumu Obama (1918–2006)

Also known as Akumu Nyanjoga She was Barack Obama's paternal grandmother, and the second wife of Hussein Onyango Obama. She had three children with Onyango: daughters Sarah and Auma, and son Barack (Barack Obama's father) Her father was named Njango or Njoga, and she was born and raised in the Western Kenyan village of Karabondi.

In his memoir Dreams from My Father, Obama wrote that Akumu was miserable in her marriage and abandoned Onyango Obama and her children with him. She subsequently married again and moved to Tanganyika, now Tanzania. Her name Akumu means "mysterious birth." Her mother conceived her after having given birth to another child and before resuming her menses.

Akumu took the name Habiba upon her conversion to Islam in her second marriage, to Salmin Orinda, a Muslim from Wagwe, near Homa Hills, South Nyanza. A photograph of her holding her son, Barack Sr., on her lap is on the cover of her grandson's memoir.
 
Apumzike kwa amani nyanya, uzao wake umefanya makubwa duniani hivyo hana cha kujutia, wengine na sisi tuhakikishe siku tukizikwa tunaacha kizazi kitakachofanya makuu. Mpeleke mwanao shule, hakikisha elimu inakolea, lipa karo shilingi kwa shilingi, nunua madaftari na aina yote ya vitabu, mpe malezi bora, lishe bora....basi, mengine yaachie kwake Maulana.
 
Kwani wewe ndio ulivumbua lugha ya kiswahili? Leta evidence kwa kamusi au ukae kimya. Malofa kama wewe mnaojifanya mlivumbua lugha ya kiswahili ilhali mlianguka somo la kiswahili shuleni.

Swaiba leo kunani?
Kunywa maji, halafu pumzika kidogo.
🤣 🤣 🤣
 
Apumzike kwa amani nyanya, uzao wake umefanya makubwa duniani hivyo hana cha kujutia, wengine na sisi tuhakikishe siku tukizikwa tunaacha kizazi kitakachofanya makuu. Mpeleke mwanao shule, hakikisha elimu inakolea, lipa karo shilingi kwa shilingi, nunua madaftari na aina yote ya vitabu, mpe malezi bora, lishe bora....basi, mengine yaachie kwake Maulana.
Bila shaka Covid ndio imemuondoa au siyo ?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom