Huwa wanajisaidia humo humoHivi ndani ya kitambi kama hicho uwaga kuna nn
Huyu lazma dishi limecheza...bisha
Afya ni kila kitu,,,health living ni issue
Hahahaha wanaweza kusoma magazeti yoteHawa jamaa chooni hukaa si chini ya nususaa
Kama sio jini basi anatumia mmeaKariakoo Kipind Flan, Nilishakutana Na Mtu Kma Hiyo Anakunywa Maji Ya Lita 6 Kwa Kulibeba Lile Dumu La Maji Ya Lita 6 Na Kuyamimina Mdomon Bila Kituo, Alipomaliza Akatupa Dumu Likiwa Tupu Na Kuondoka Zake.
Kimejaa hewa.Hivi ndani ya kitambi kama hicho uwaga kuna nn
Haa haa we unadhani kuna nini.?Hivi ndani ya kitambi kama hicho uwaga kuna nn
Haahahahaha umetisha mkuuMtu kama Huyo akivaa shati la njano afu ukamuangalia kutoka mbali unaweza unasema ni school bus