Nyama ya Afrika...

Mbona mchina hayupo au yeye huwa hakaribishwi anajikaribisha mwenyewe..??
 

Kwahiyo mshukuruni mwanamke bila yeye msingejua kama kuna Mungu
 
huyo yuko sawa kabisa dini zimejaa vidomodomo na kutishiana@mkuu chiefmTz uko juu sana,
Kwa hiyo unaamini kuna DINI ya kidume na Kike?
hiyo Avarter yako na jina ni tosha kabisa na hutatoka katika Mfumo Dume kwani umeshakuingia kutokana na Mapokeo ya Hadithi naomba uendelee hukohuko kwenye dini za kike
 
Kwa hiyo unaamini kuna DINI ya kidume na Kike?
hiyo Avarter yako na jina ni tosha kabisa na hutatoka katika Mfumo Dume kwani umeshakuingia kutokana na Mapokeo ya Hadithi naomba uendelee hukohuko kwenye dini za kike
mimi sina dini yeyote maana naamini hizo ni tamaduni za watu kama zilivyo za kipogoro kwa hiyo bora nibaki mtanzania wa kipogoro.halafu hata quraan na biblia ni hadithi za kiyahudi na kiarabu.nawatakia mapigano mema kama mtazidi kutokutumia akili na hekima katika kujadiliana.
 
Tunawaita wawekezaji, ila wanachokuja kufanya ni kuitafuna nchi kama ilivyo mbichi ili hata harufu tusisikie
 

Hayo ya mke wa Marehemu mimi siyajui ila kuhusu hili la Maria Magdalena kumpaka Yesu mafuta kaburini na ufuasi naomba ukasome tena.

Ukristo hauhitaji juhudi za Maria Magdalena. Kristo alikuwapo kabla ya kuumbwa kwa ulimwengu na hakumtegemea Maria Magdalena kutekeleza maadhimio yake hapa duniani. Tumia akili yako angalau mara moja kwa mwaka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…