Nyama tamu

kwenzi

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
669
666
Hakuna nyama tamu kama kitmoto nimejionea hapa dunian.

Nawasilisha.

Ikaushwe hisiwe losti kachumbali yenye pilpil Kali pemben Pepsi ya baridiiii plus kaugali kalaini.

Jaman jaman hapa dunian kuna rahaaaa
 
Back
Top Bottom