Wali mseto huoooBado haujasema mkuu,sahizi ukikaa na familia Anza kusifia maharage jinsi yalivyo naprotini kuliko nyama,labda wanaweza kukuelewa na labda sikukuu watakubali wapikiwe pilau harage.
Naogopa😂😂Hamia magetoni![]()
Zitakuhusu pale utakapo anza kunywa uji mchuchu bila chukari totoooAmbao tunaishi kwa wazazi stress kama hizi hazituhusu![]()




Madawati kumbe upoHamia magetoni![]()
rudisha ile picha umekaa una swali bhana.
MendeNaogopa😂😂
Ngoja niombe Mungu isifikie huko😂Zitakuhusu pale utakapo anza kunywa uji mchuchu bila chukari totooo![]()
Naogopa shida kama hizi za mfumuko wa bei😃😃😒Mende
Mbona kawaida, maisha hayajanyooka siku zoteNaogopa shida kama hizi za mfumuko wa bei😃😃😒
Kwakweli bado sijashawishika😂Mbona kawaida, maisha hayajanyooka siku zote
Yes imepanda juzi nmeenda bucha ninayonunua nikakuta nyama 10000 kilo nikasema hapa gharama zinazidi kuongezekaNilikua nishazoea ninanunua kilo 5 kila mara kwa ajili ya Familia kwa shilingi 14000 but sasahivi kilo 5 nimenunua kwa 16000 ongezeko la shilingi 2000 kwa kilo 5
Nyama nayo imepanda, kilo tulikua tunanua elfu 7500 kwa 8000 huku Goba sasahivi nyama kilo ni 9500 kwa elfu 10
Nimesikia watu wakisema nauli za usafiri wa umma daladala zimepanda pia japo sina uhakika na hili jambo lakini hii italeta athari sana kwa wanaopanda daladala
Kweli mama anaupiga mwingi sana
sio mama,,tatizo ni izi sikukuu zilizo karibia mzee baba,na baada ya sikukuu madaftari,penseli,rula na kalamu zitapanda bei mara dufu{demand and supply},,,,,ata wakati wa corona majeneza yalipanda bei!!!!...wee mzee vipi acha kulaumu gvt kwa kila jambo!!Nilikua nishazoea ninanunua kilo 5 kila mara kwa ajili ya Familia kwa shilingi 14000 but sasahivi kilo 5 nimenunua kwa 16000 ongezeko la shilingi 2000 kwa kilo 5
Nyama nayo imepanda, kilo tulikua tunanua elfu 7500 kwa 8000 huku Goba sasahivi nyama kilo ni 9500 kwa elfu 10
Nimesikia watu wakisema nauli za usafiri wa umma daladala zimepanda pia japo sina uhakika na hili jambo lakini hii italeta athari sana kwa wanaopanda daladala
Kweli mama anaupiga mwingi sana
Nauli.zimepanda sanaa toka alivyofariki Magufuri mtetezi wa wanyonge ,tatizo wapanga nauli ndio wamiliki wa vyombo vya usafirishaji na ndio wana siasaDaaaa kuna muda kweli nakiri jamaa alikuwa kiongozi wa Wananchi wa Kawaida.
Hili la kupanda kwa nauli linafikirisha sana
JamiiForums mobile app
karibu nikutunze, tuwatafutie wajukuu wazee nyumbaniAmbao tunaishi kwa wazazi stress kama hizi hazituhusu☺️☺️
samaki si bei chee tu,Bora huko bara, zanzibar nyama kilo 1 ni sh.13000