Nyama na Sukari vimepanda

Nyama na Sukari vimepanda

Nilikua nishazoea ninanunua kilo 5 kila mara kwa ajili ya Familia kwa shilingi 14000 but sasahivi kilo 5 nimenunua kwa 16000 ongezeko la shilingi 2000 kwa kilo 5

Nyama nayo imepanda, kilo tulikua tunanua elfu 7500 kwa 8000 huku Goba sasahivi nyama kilo ni 9500 kwa elfu 10

Nimesikia watu wakisema nauli za usafiri wa umma daladala zimepanda pia japo sina uhakika na hili jambo lakini hii italeta athari sana kwa wanaopanda daladala

Kweli mama anaupiga mwingi sana
Dawa koma kunywa chai
 
Afya zenu zitaimarika sana. Kuleji Jani kwa wingi sasa.
 
Back
Top Bottom