Nyama na Sukari vimepanda

Nyama na Sukari vimepanda

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,120
Reaction score
24,396
Nilikua nishazoea ninanunua kilo 5 kila mara kwa ajili ya Familia kwa shilingi 14000 but sasahivi kilo 5 nimenunua kwa 16000 ongezeko la shilingi 2000 kwa kilo 5

Nyama nayo imepanda, kilo tulikua tunanua elfu 7500 kwa 8000 huku Goba sasahivi nyama kilo ni 9500 kwa elfu 10

Nimesikia watu wakisema nauli za usafiri wa umma daladala zimepanda pia japo sina uhakika na hili jambo lakini hii italeta athari sana kwa wanaopanda daladala

Kweli mama anaupiga mwingi sana
 
December sio lazma utumie hela, wewe hakikisha una connection, nyama kuna sehemu ni bure kabisa. Pombe ndo usiseme, peleka familia kwa wazazi. Kula bata baba.
Mbona mnasahau utamaduni, its december for families. Send them home bro.
 
Back
Top Bottom