Nyama mbovu Platinum Annex Dodoma

Nyama mbovu Platinum Annex Dodoma

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
17,566
Reaction score
28,527
Nipo Dodoma muda sasa kufuatilia masuala ya kiserikali.

Siku hizi wajua tena Dodoma ni makao makuu..
Jioni jana niakaamua kupata moja baridi na mbuzi choma Platinum Annex panaposifika.

Kula kipande cha kwanza tu, harufu ya uvundo.
Nikamwita mpishi hadi manager Shomari nikaona wanashangaa shangaa.

Nikahisi ni mchezo wanafanya siku zote maana no apology na wote wakakimbia pale.

Wakazi Dodoma kuweni macho.
 
Asante kwa taarifa mpendwa mteja wetu. Tutaifanyia kazi hii taarifa yako.
Tafadhali usisite kutembelea Bar yetu ili kujionea maboresho zaidi
 
liguid iko kwenye kigorofa flani nilikwendaga hapo mwaka juzi nilipokuwa kikazi bukoba its a nice joint ila wahaya watani zangu Mungu anawaona
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom