Pole sana mteja wetu tunaomba samahani kwa usumbufu uliopata, hata hivyo tumegundua kuwa Hosea japokuwa amesoma degree ya catering lkn bado ni mpumbavu Sana hivyo Leo tumemtumbua. Karibu tena ndugu mteja na utafidiwa nyama yako ya Jana.Nipo Dodoma muda sasa kufuatilia masuala ya kiserikali.
Siku hizi wajua tena Dodoma ni makao makuu..
Jioni jana niakaamua kupata moja baridi na mbuzi choma Platinum Annex panaposifika.
Kula kipande cha kwanza tu, harufu ya uvundo.
Nikamwita mpishi hadi manager Shomari nikaona wanashangaa shangaa.
Nikahisi ni mchezo wanafanya siku zote maana no apology na wote wakakimbia pale.
Wakazi Dodoma kuweni macho.