Ni kweli, waliona ni wa kuja.Write your reply...
sie uku dom tunajuana wenyewe wew uliingizwa chaka!
Pole aiseeeMkuu hili limenikera sana maana badala ya starehe sasa kwa kile kipande nilichokula nimeanza kuuguza tumbo kabla hata hakujacha bado.
Nipo Dodoma muda sasa kufuatilia masuala ya kisetikali.
Siku hizi wajua tena Dodoma ni makao makuu..
Jioni jana niakaamua kupata moja baridi na mbuzi choma Platinum Annex panaposifika.
Kula kipande cha kwanza tu, harufu ya uvundo.
Nikamwita mpishi hadi manager Shomari nikaona wanashangaa shangaa.
Nikahisi ni mchezo wanafanya siku zote maana no apology na wote wakakimbia pale.
Wakazi Dodoma kuweni macho.
Mods jalini afya msiufute uzi huu, si jungu limenitokea.
Hahahaha Hilo Jina TuuDiamond kumbe anavitega Uchumi Hadi Dodoma?
Hongera Diamond Platinum
YAANI NI UPUUZI MTUPU,HAKUNA NYAMA NZURI SKY MOTEL AU LIQUID!!!!SANA SANA MALAYA WACHAFU NA NSHOMILE WASIOJUA PIKA!!!INGAWA SKY KWA BUKOBA NI AFADHALI KULIKO SEHEMU YEYOTE YA BUKUBA!!!NYAMA NZURI DOM,ARUSHA,SINGIDA.Ukitaka kula nyama nzuri, njoo Bukoba sehemu inaitwa Sky Motel au Liquid the Lounge
Bandari club sipajui!!! Au unasemea Bukoba Club?!!
[/QUOT
BUKOBA CLUB HAKUNA KITU HATA KULE CHIN ZIWAN KYORELWA HAKUNA KITU!!!!BUKOBA NI MACHANGU WA BEI LA RAHISI NA KARIBU WOTE WANA NGOMA!!!!HASA Q BAR!!
Hili povu ninaweza fulia pajama zangu zooteYAANI NI UPUUZI MTUPU,HAKUNA NYAMA NZURI SKY MOTEL AU LIQUID!!!!SANA SANA MALAYA WACHAFU NA NSHOMILE WASIOJUA PIKA!!!INGAWA SKY KWA BUKOBA NI AFADHALI KULIKO SEHEMU YEYOTE YA BUKUBA!!!NYAMA NZURI DOM,ARUSHA,SINGIDA.
Umelia huo uvundo au wamekusamehe?..Nipo Dodoma muda sasa kufuatilia masuala ya kisetikali.
Siku hizi wajua tena Dodoma ni makao makuu..
Jioni jana niakaamua kupata moja baridi na mbuzi choma Platinum Annex panaposifika.
Kula kipande cha kwanza tu, harufu ya uvundo.
Nikamwita mpishi hadi manager Shomari nikaona wanashangaa shangaa.
Nikahisi ni mchezo wanafanya siku zote maana no apology na wote wakakimbia pale.
Wakazi Dodoma kuweni macho.
Mods jalini afya msiufute uzi huu, si jungu limenitokea.
Yaani afunge safari toka Dodoma hadi Bukoba kufuata nyama choma?Ukitaka kula nyama nzuri, njoo Bukoba sehemu inaitwa Sky Motel au Liquid the Lounge
Statehe gharamaYaani afunge safari toka Dodoma hadi Bukoba kufuata nyama choma?
Mkuu pa1 na hayo, hauwezi kufunga safari kilomita karibia 800 kufuata mlo wa siku1, labda kuwe na jambo kubwa unaenda kulifanya na hiyo iwe ziada tu.Statehe gharama
Anayekutana na tukio kama hilo kama halitamkera na kukumbuka basi hatakuwa tofauti na mbwa!Mkuu umelala unawaza hio nyama?
Mtanzania na biashara bado kabisa. Ni ''ujanja ujanja'' wa kuchomeka tu. Halfu kesho yake anaenda kwa mganga kuulizia kwa nini biashara imegoma!Nipo Dodoma muda sasa kufuatilia masuala ya kiserikali.