Nyama choma Festival - Leaders

Paul S.S

JF-Expert Member
Aug 27, 2009
6,402
3,242
Kwa sie wapenda nyama mambo yalikuwa bam bam, ni mwendo wa nyama bia
nyama choma.jpg

nyama2.jpg

nya7.jpg
nyama1.jpg
 
Nani alishinda sasa,au haikuwa mashindano.
Baa ya kisuma kama sijakosea waliibuka washindi kwa kunyakua m1
Hii habari ya mashindano wapi na wapi mkuu, watu walikua wanafakamia nyama na bia tu
 
Ndo mambo yenu wabongo,starehe kuliko kazi.eti mashndno ya nyma choma.uzush mtupu.
 
Binadamu wakatili sana....

Sijui siku tukiamka tukamkuta ngombe amewasha jiko anachoma mapaja ya binadamu tutafanyaje...........:A S 13::A S 13::A S 13:
 
nadamu wakatili sana....

Daaaah! It's like you took the words "binadamu wakatili sana" right out of my mouth!

Indeed sisi ni wakatili sana. We kill these innocent animals just for leisure. Very sad.
 
Wakuu that's how it is...........................
Sio ukatili bana ni mzunguko tu wa dunia huu, viumbe wote wanakulana ili dunia iendelee kuwepo
Ni kwavile tu Mungu katupendelea tunaufahamu mkubwa wa kujikinga nao vinginevyo katiza kwa miguu Serengeti ndio mtajua habari hii
 
nadamu wakatili sana....

Sijui siku tukiamka tukamkuta ngombe amewasha jiko anachoma mapaja ya binadamu tutafanyaje...........:A S 13::A S 13::A S 13:

Lakini jamani hii mifugo tumeumbiwa ili tule nyama yake ...
 
Back
Top Bottom