Nyalandu: Nimewasili Mbeya tayari kushiriki Sala Maalumu ya Kumwombea Mhe. Tundu Lissu

wanchama tunaomba kila patakapokuwa panafanyika mkutano wa chadema kumalizikie na mchango kutoka kwa wananchi nina imani zitapatikana pesa nyingi tu,kwa manufaa ya kuendeleza chama. wananchama tuko tayari kutoa tulichonacho
 
Duu watu wenye akili kubwa kama wewe ndoo tunao wahitaji katika taifa hili sio mijitu mihoga mihoga wajinga kama kina msukuma juma mkamia cjuw nani ni disasters tupu....
 
Mapema leo nimetembelea Kanisa la Ilemi mjini Mbeya na kusalimia waumini. Asanteni kwa maombi yenu! Nawapenda sana na nimefurahi sana kwa kumuombea Tundu Lissu tuendele Kumuombea kwa Mungu amponye Haraka mimi binafsi sitaacha kumuombea na kuongoza ibada za kumuombea.

View attachment 594724
Anajiona kuwa Hana nafasi tena 2020 ndiyo maana ameamua pamoja na akina Nape kuongeza bila woga.
 
Huyu nae hope anafanya kutoka moyoni,si kwa revenge kwa Magufuli.Maana hata kwenye ziara ya Magufuli kule Singida ni mbunge pekee wa CCM ambaye hakuwepo.Najiuliza tu je angekuwa waziri angediriki kufanya haya anayoyafanya sasa ?
Hili swali unaloniuliza ni zuri ila mashaka umeyajenga kwenye kutokuwepo kwenye ziara kule Singida. Nadhani ungejaribu kupata ukweli wa kwa nini hakuwepo kwenye hiyo ziara kisha ndio uunganishe doti
Mapema leo nimetembelea Kanisa la Ilemi mjini Mbeya na kusalimia waumini. Asanteni kwa maombi yenu! Nawapenda sana na nimefurahi sana kwa kumuombea Tundu Lissu tuendele Kumuombea kwa Mungu amponye Haraka mimi binafsi sitaacha kumuombea na kuongoza ibada za kumuombea.

View attachment 594724
 
Kama ni kumuombea si amuombee tu,anatueleza ili iweje? Hapo hakuna utashi maana maombi yamegeuzwa matangazo ya biashara na watu kutafutia kiki za kisiasa

Huenda anaomba Huruma
 
Moja ya sifa ya maji laini ni kuwa hutengeneza povu jingi na sabuni...wewe jamaa unayo hii sifa..Jamaa mnahisi amewasalti maana lengo lenu kwa lisu halikuwa zuri.
Lisu ni nani dhidi ya askari 8 waliouwawa? Lisu ni nani dhidi ya watu kibao waliokufa huko Kibiti? Lisu ni mtu kama mtu mwingine yeyote yule, ni chokora tu.
 
Huyu nae hope anafanya kutoka moyoni,si kwa revenge kwa Magufuli.Maana hata kwenye ziara ya Magufuli kule Singida ni mbunge pekee wa CCM ambaye hakuwepo.Najiuliza tu je angekuwa waziri angediriki kufanya haya anayoyafanya sasa ?
Kwanini mnapenda majungu na maneno ya vijiweni?Picha iliwekwa humu jukwaani wkt JPM akiwa singida Nyalandu alikuwepo pamoja na wakina wakina mwigulu nchemba wamesimama nyuma ya Mama Maguguli wkt mama akisalimia Wananchi Singida.
 
~~~>>>>Hata Nchemba nafsi inamsuta ila anaogopa kutumbuliwa na Baba Ubaya a.k.a Mfalme Juha..

Hongera sana Nyalandu kwa msimamo wa kiume.... Mwanaume siku zote lazima uwe na maamuzi ya kiume......
 
Mpe miezi kadhaa atatangazwa kajivuwa uanachama CCM na kaingia rasmi CHADEMA..
Siasa inatukumbusha tabia za wale wanyama mbugani "kona bar"! Huwezi siasa kaa pembeni, ukiweza basi ni kama haya...
Ila eti Wamarekani walimuomba agombee atuongoze?! Ndorobo kabisa..
Ila kama usemavyo tuombe kweli anamjulia hali na kumuombea Mh. Lissu toka moyoni na siyo "KIKI"..
Hapo ni damu nzito kuliko maji. Ndio kubwa zaidi
 
Huyu ni mbunge wa maslahi sana, hajawahi Kuwa mtu muhimu ndani ya CCM, amenufaika na CCM kuliko Yeye kuinufaisha CCM. Endeleeni kudanganywa na mtu ambaye ameshinda miaka 20 yupo Bungeni. Saivi anatafuta kiki kupitia Majeruhi.
 
Kama ni kumuombea si amuombee tu,anatueleza ili iweje? Hapo hakuna utashi maana maombi yamegeuzwa matangazo ya biashara na watu kutafutia kiki za kisiasa
Kama ni kumuombea si amuombee tu,anatueleza ili iweje? Hapo hakuna utashi maana maombi yamegeuzwa matangazo ya biashara na watu kutafutia kiki za kisiasa
CC mkuu wa ofisi za Lumumba.
 
Back
Top Bottom