Nyalandu ni Jasusi aliyeiva

Nyalandu ni Jasusi aliyeiva

Huna unalojuwa umeendaika upuuzi mtupu. Nyalandu hana ujasusi wowote ni njaa zake tu zimemfanya arudi

MUSIBA alituambia Nyalandu ndio anampa hifadhi Lissu kwenye nyumba yake huko Belgium!! Tunataka aje aseme sasa kama amemfukuza kwenye hiyo nyumba madam ameamua kurudi ccm!!
 
CHADEMA ndo chama pekee kinachotegemewa na Watanzania kama mbadala wa CCM,mateso ya Watanzania dhidi mtesi CCM yanatarajiwa kuondolewa na CHADEMA, Kama ilivyokuwa kwa ANC ya South Africa, CCM ni kaburu wa Tanzania.
Hakuna CCM bila Police,hakuna CCM bila TISS,CCM imeshakufa,uhai wa CCM unategemea mabavu ya Dola.
Hayati ametumia nguvu zake zote alizojua ili kuiua CHADEMA lakini wapi, Chama hiki bado kinapumua hakijafa na hakitakufa.
Uovu wa CCM kwa Watanzania ni mkubwa mno,unahitaji kitabu kuandika juu ya uovu wa CCM kwa Watanzania, Paragraph tu hazitoshi.
Naam,ndoto ya CCM ni kuitawala Tanzania milele,ni ndoto ya mwendawazimu, hakuna aishiye milele zaidi ya MUNGU wetu.
Ili kutimiza ndoto zake za mchana, CCM imejaza Majasusi ndani ya CHADEMA hawa wanajua Siri zote za CHADEMA, yaani Badala TISS wafanye kazi ya kwenda nje kuiba Teknolojia ili Tanzania iwe Taifa kubwa eti wanaiba Siri za CHADEMA,sasa mkiiba hizo Siri zinaisadia nini Tanzania?
Ujio wa Nyalandu CHADEMA ulikuwa ni wa kimkakati,na bahati mbaya kwake hajafanikiwa lolote,Tunamjua Nyalandu kama mtumishi bora na aliyetukuka wa TISS,kwa kipindi kile ilikuwa ni ngumu sana kuongea lakini sasa iko dhahiri kabisa.
Tumeshasems hapa mara nyingi sana kuwa ukishaapa kuwa Jasusi huwezi kuacha ,na ukiacha adhabu yako ni kifo,ndo maana yule jamaa wa Mahenge nilimtoa nishai humu kwa kumueleza ukweli.
Hata kabla hajawa Waziri , Nyalandu alikuwa Jasusi haswa.
Bado wengine kibao ndani ya CHADEMA ni Majasusi waliotumwa kutoka CCM na kuna mpango wa kuwatuma wengine zaidi,wapo halmashauri kuu ya Chama na wengine wapo BAVICHA.
Na ndo hao waliokuwa wakipiga kelele Mbowe aondolewe kwenye nafasi ya mwenyekiti ili Serikali ya CCM iweke mtu wao atakayeua CHADEMA.
CHADEMA inalindwa na Mungu vinginevyo hiki Chama kingekuwa kimeshapotezwa siku nyingi.
Sema CHADEMA inalindwa na WACHAGA,siku wakiisusa inasambaratika.
 
Mimi ni rafiki yangu namjuwa ila wewe humjui. Ana njaa sana na yeye na familia wanateseka hapa Arusha.
Kama hujui kaa tu kimya
nakazia point ya muanzisha mada.
majasusi wa tanzania badala ya kuwekeza nguvu, akili na umahiri katika kuiba blueprint zinazohusu teknolojia ya mataifa mengine na kuzileta nchini, wanawekeza mda wao katika kudhibiti vyama vya upinzani.

china imefika hapo ilipo kiteknolojia baada ya kuwatumia vizuri majasusi wake kuiba teknoloji za mataifa ya magharibi. leo hii asilimia kubwa ya vifaa vya kielektoniki tunavyotumia hapa tz vinatoka china.
Tulishindwa kuilinda peas mark ya Jiwe mpaka ikadukuliwa
 
Mtoa mada kuhusu Nyarandu inaweza kuwa kweli au sio kweli Mimi Hilo sio tatizo langu.
Lakini kwa kweli nakuunga mkono kwa yote uliyosema kwenye mada hi.
Kusema kweli huwa naipenda Sana TISS lakini huwa naumia Sana kwa jinsi inavyotumika kuhujumu wapinzani wa CCM.
Kwa kifupi Ni matumizi mabaya yasiyo na faida kwa Taifa kwa TISS kutmika na CCM kuhujumu wapinzani wa halali wa CCM wa kisisasa.
Hi ndo maana licha ya utulivu wetu wa kisisasa tangu Uhuru lakini bado tuko nyuma kimaendeleao.Tumeachwa na vinchi vingi Sana.
Badala ya Serikali kuwatuma TISS nje kuiba mbinu za kukuza uchumi wao wanawatuma kupeleleza Chadema.
Kwa kifupi Ni kwamba,hata Chadema au vyama vya upinzani vikiuliwa au vikifutwa Mimi sitaipenda CCM.na ninaamini watanzania wengi wapenda vyama vya upinzani hawataipenda pia.
Chukua maji ya uhai nitalipa.
 
Hakuna jasusi pale Wala Nini Ni mwanasiasa Kama wanasiasa wengine. Huo ujasusi kasoma lini na wapi maana hostoria yake ipo wazi.

Lakini pia kama ni jasusi alishindwa Nini kuiua CHadema maana ameiacha Kama alivyoikuta hakuna chochote alichofanya chakudhoofisha kinachoonekana.

Huyu alikimbia ccm kutokana na kundi lake kukataliwa sawa na walivyo akina Membe.

Kwa Tanzania nivigumu kutumia majasusi kustop upinzani, kilichobaki nikutumia dola kuvuruga uchaguzi. Kama majasusi wangekuwa wanasaidia kwenye siasa lisu asingepata uungwaji mkono kiasi kile. Na Wala tume ya uchaguzi isingepata muda wakuchafua uchaguzi. Tuseme ujasusi ndo umpeleke halima mdee na kundi lake kwenda kuapishwa nje ya Bunge....ujasusi unaohitaji Tanzania ni wakiuchumi agaist foreign investment lakini ukiniambia Nyarandu kukaa pale Chadema alienda kwa kazi maalumu no.
Mkuu, Ni kwa nini kwa Tanzania ni ngumu kutumia ujasusi kustop chama?
 
Ujasusi ni nini? Tuanzie hapo.

Kuna aina ngapi za ujasusi?

Ni kweli kwamba mwenye kitabu pekee ndo anakuwa jasusi au anafanywa kuwa jasusi?
 
Chama kufa haiwezekani kwa sababu kikishakua na usajili tu imatosha kukifanya hai ndio mana kuna hadi JAHAZI ASILIA na TLP ... kukitoa chama kwenye wa bunge zaidi ya 150 kukipeleka kwa 1 ndio tunaita kufa huko ...
 
CHADEMA ndo chama pekee kinachotegemewa na Watanzania kama mbadala wa CCM,mateso ya Watanzania dhidi mtesi CCM yanatarajiwa kuondolewa na CHADEMA, Kama ilivyokuwa kwa ANC ya South Africa, CCM ni kaburu wa Tanzania.
Hakuna CCM bila Police,hakuna CCM bila TISS,CCM imeshakufa,uhai wa CCM unategemea mabavu ya Dola.
Hayati ametumia nguvu zake zote alizojua ili kuiua CHADEMA lakini wapi, Chama hiki bado kinapumua hakijafa na hakitakufa.
Uovu wa CCM kwa Watanzania ni mkubwa mno,unahitaji kitabu kuandika juu ya uovu wa CCM kwa Watanzania, Paragraph tu hazitoshi.
Naam,ndoto ya CCM ni kuitawala Tanzania milele,ni ndoto ya mwendawazimu, hakuna aishiye milele zaidi ya MUNGU wetu.
Ili kutimiza ndoto zake za mchana, CCM imejaza Majasusi ndani ya CHADEMA hawa wanajua Siri zote za CHADEMA, yaani Badala TISS wafanye kazi ya kwenda nje kuiba Teknolojia ili Tanzania iwe Taifa kubwa eti wanaiba Siri za CHADEMA,sasa mkiiba hizo Siri zinaisadia nini Tanzania?
Ujio wa Nyalandu CHADEMA ulikuwa ni wa kimkakati,na bahati mbaya kwake hajafanikiwa lolote,Tunamjua Nyalandu kama mtumishi bora na aliyetukuka wa TISS,kwa kipindi kile ilikuwa ni ngumu sana kuongea lakini sasa iko dhahiri kabisa.
Tumeshasems hapa mara nyingi sana kuwa ukishaapa kuwa Jasusi huwezi kuacha ,na ukiacha adhabu yako ni kifo,ndo maana yule jamaa wa Mahenge nilimtoa nishai humu kwa kumueleza ukweli.
Hata kabla hajawa Waziri , Nyalandu alikuwa Jasusi haswa.
Bado wengine kibao ndani ya CHADEMA ni Majasusi waliotumwa kutoka CCM na kuna mpango wa kuwatuma wengine zaidi,wapo halmashauri kuu ya Chama na wengine wapo BAVICHA.
Na ndo hao waliokuwa wakipiga kelele Mbowe aondolewe kwenye nafasi ya mwenyekiti ili Serikali ya CCM iweke mtu wao atakayeua CHADEMA.
CHADEMA inalindwa na Mungu vinginevyo hiki Chama kingekuwa kimeshapotezwa siku nyingi.
Kwani CHADEMA bado ipo ? Endelea kuota mchana matokeo yake utakuwa chizi.
 
Ukiona unaota sana ndoto za mchana ujue karibu utakuwa chizi
CHADEMA itashika dola muda si mrefu katika mazingira ambayo hayakutaraiwa kwani hiki chama ni mpango wa Mungu kwa watanzania.

Mungu hawezi kuruhusu CCM iendelee kutesa na kunyanyasa watu wake na ataipiga kofi na kuiondoa madarakani .

Hayati hakudumu, na hata hiki kikundi cha watu kinachokula mema ya nchi hii kwa gharama ya masikini wa nchi hakitadumu.
 
Usitusemee. Imejengeka moyoni mwako, siye wengine haimo mioyoni mwetu.
Chadema ni imani hata aondoke Mbowe,imani ilishajengeka mioyoni mwa watanzania wengi.Ni muda muafaka tuanzishe challenge tujenge ofisi yenye hadhi ya makao makuu yetu.
 
Wakiwa CCM hawathubutu kuutaka Uenyekiti wakija CDM wanautaka na kugombea URais juu. Nyalandu umechemka
CCM wanautaratibu wa kumpata Mwenyekiti, kila baada ya Miaka angalau 10, kwa mihula ya miaka 5 , mitano, isipokuwa ikitokea dharura ya kifo, n.k.
Lakini "Saccos" mpaka miliki aseme ambaye Mzee na Mkwe .
 
Tanzania hakuna majasusi. Kuna waganga njaa . Nenda Fourway uone wanavyonyang’anyana malaya.
 
CHADEMA ndo chama pekee kinachotegemewa na Watanzania kama mbadala wa CCM,mateso ya Watanzania dhidi mtesi CCM yanatarajiwa kuondolewa na CHADEMA, Kama ilivyokuwa kwa ANC ya South Africa, CCM ni kaburu wa Tanzania.
Hakuna CCM bila Police,hakuna CCM bila TISS,CCM imeshakufa,uhai wa CCM unategemea mabavu ya Dola.
Hayati ametumia nguvu zake zote alizojua ili kuiua CHADEMA lakini wapi, Chama hiki bado kinapumua hakijafa na hakitakufa.
Uovu wa CCM kwa Watanzania ni mkubwa mno,unahitaji kitabu kuandika juu ya uovu wa CCM kwa Watanzania, Paragraph tu hazitoshi.
Naam,ndoto ya CCM ni kuitawala Tanzania milele,ni ndoto ya mwendawazimu, hakuna aishiye milele zaidi ya MUNGU wetu.
Ili kutimiza ndoto zake za mchana, CCM imejaza Majasusi ndani ya CHADEMA hawa wanajua Siri zote za CHADEMA, yaani Badala TISS wafanye kazi ya kwenda nje kuiba Teknolojia ili Tanzania iwe Taifa kubwa eti wanaiba Siri za CHADEMA,sasa mkiiba hizo Siri zinaisadia nini Tanzania?
Ujio wa Nyalandu CHADEMA ulikuwa ni wa kimkakati,na bahati mbaya kwake hajafanikiwa lolote,Tunamjua Nyalandu kama mtumishi bora na aliyetukuka wa TISS,kwa kipindi kile ilikuwa ni ngumu sana kuongea lakini sasa iko dhahiri kabisa.
Tumeshasems hapa mara nyingi sana kuwa ukishaapa kuwa Jasusi huwezi kuacha ,na ukiacha adhabu yako ni kifo,ndo maana yule jamaa wa Mahenge nilimtoa nishai humu kwa kumueleza ukweli.
Hata kabla hajawa Waziri , Nyalandu alikuwa Jasusi haswa.
Bado wengine kibao ndani ya CHADEMA ni Majasusi waliotumwa kutoka CCM na kuna mpango wa kuwatuma wengine zaidi,wapo halmashauri kuu ya Chama na wengine wapo BAVICHA.
Na ndo hao waliokuwa wakipiga kelele Mbowe aondolewe kwenye nafasi ya mwenyekiti ili Serikali ya CCM iweke mtu wao atakayeua CHADEMA.
CHADEMA inalindwa na Mungu vinginevyo hiki Chama kingekuwa kimeshapotezwa siku nyingi.
Jamani wekeni LIKE kwenye uzi wa mdau huku hazitoshi
 
Hakuna jasusi pale Wala Nini Ni mwanasiasa Kama wanasiasa wengine. Huo ujasusi kasoma lini na wapi maana hostoria yake ipo wazi.

Lakini pia kama ni jasusi alishindwa Nini kuiua CHadema maana ameiacha Kama alivyoikuta hakuna chochote alichofanya chakudhoofisha kinachoonekana.

Huyu alikimbia ccm kutokana na kundi lake kukataliwa sawa na walivyo akina Membe.

Kwa Tanzania nivigumu kutumia majasusi kustop upinzani, kilichobaki nikutumia dola kuvuruga uchaguzi. Kama majasusi wangekuwa wanasaidia kwenye siasa lisu asingepata uungwaji mkono kiasi kile. Na Wala tume ya uchaguzi isingepata muda wakuchafua uchaguzi. Tuseme ujasusi ndo umpeleke halima mdee na kundi lake kwenda kuapishwa nje ya Bunge....ujasusi unaohitaji Tanzania ni wakiuchumi agaist foreign investment lakini ukiniambia Nyarandu kukaa pale Chadema alienda kwa kazi maalumu no.
Mbona makonda ni jasusi na ni zero brain his head is full of shit instead of brain
 
ukweli wa ukuu wa CHADEMA unajidhihirisha pale unapoona Mwenyekiti wao haishi kuitaja hadharani. Magufuli alikuwa akiitaja kimoyomoyo.
 
Kwa hiyo Halima Mdee na kundi lile la wabunge unawasemaje ni majasusi au siyo? Kama unadhani jibu ni ndio huko Chadema basi kumejaa majasusi wa CCM kibao na bado wako wa kutosha.

Na ndio maana ya chama tawala kinawala nchi na vyama vya siasa pia lazima kiwe na wawakilishi kibao .Upo hapo
 
Back
Top Bottom