Nyalandu ni Jasusi aliyeiva

Nyalandu ni Jasusi aliyeiva

Chadema ni chaka la wezi....
Aliogopa Mwamba atafumua uovu wake... akajua nikiwa upinzani hata nikitikiswa itakuwa covered na siasa...

Mwanaume kaondoka anarudi ccm.

We said the same kwa Lowassa na wapinzani kanjanja mnaowabeba kwenye dema la chadema
CCM ni Chama Cha Maparachichi
 
Nilijua lazima utapanick, hapo habari yako imeisha. Hiyo tu inatosha kujua kwamba huna uwezo wa kutetea ulichoongea. Halafu watu wa aina yako huwa nawamudu kwa 100%. Acha nikupe pole tu kwa sasa.
Huna akili, kamtukuze mungu Mbowe. Ukizaa na mtoto muite Mbowe au Freeman kama alivyofanya Sugu.

Akili zetu ni zero kabisa. Total captives.
 
Huna akili, kamtukuze mungu Mbowe. Ukizaa na mtoto muite Mbowe au Freeman kama alivyofanya Sugu.

Akili zetu ni zero kabisa. Total captives.

Ndio maana nakuambia ww ni bendera fuata, na huna lolote ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani. Pitia post zangu zote, ukikuta popote namsujudia Mbowe nipigwe ban miaka miwili. Msimamo wangu wa kutokukubaliana na Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm zaidi ya miaka kumi uko wazi. Uzuri mitandao haisahau na ushahidi wa misimamo yangu upo wazi. Tazama vizuri hii Id, hii Id ni shida dogo.
 
CHADEMA ndo chama pekee kinachotegemewa na Watanzania kama mbadala wa CCM,mateso ya Watanzania dhidi mtesi CCM yanatarajiwa kuondolewa na CHADEMA, Kama ilivyokuwa kwa ANC ya South Africa, CCM ni kaburu wa Tanzania.
Hakuna CCM bila Police,hakuna CCM bila TISS,CCM imeshakufa,uhai wa CCM unategemea mabavu ya Dola.
Hayati ametumia nguvu zake zote alizojua ili kuiua CHADEMA lakini wapi, Chama hiki bado kinapumua hakijafa na hakitakufa.
Uovu wa CCM kwa Watanzania ni mkubwa mno,unahitaji kitabu kuandika juu ya uovu wa CCM kwa Watanzania, Paragraph tu hazitoshi.
Naam,ndoto ya CCM ni kuitawala Tanzania milele,ni ndoto ya mwendawazimu, hakuna aishiye milele zaidi ya MUNGU wetu.
Ili kutimiza ndoto zake za mchana, CCM imejaza Majasusi ndani ya CHADEMA hawa wanajua Siri zote za CHADEMA, yaani Badala TISS wafanye kazi ya kwenda nje kuiba Teknolojia ili Tanzania iwe Taifa kubwa eti wanaiba Siri za CHADEMA,sasa mkiiba hizo Siri zinaisadia nini Tanzania?
Ujio wa Nyalandu CHADEMA ulikuwa ni wa kimkakati,na bahati mbaya kwake hajafanikiwa lolote,Tunamjua Nyalandu kama mtumishi bora na aliyetukuka wa TISS,kwa kipindi kile ilikuwa ni ngumu sana kuongea lakini sasa iko dhahiri kabisa.
Tumeshasems hapa mara nyingi sana kuwa ukishaapa kuwa Jasusi huwezi kuacha ,na ukiacha adhabu yako ni kifo,ndo maana yule jamaa wa Mahenge nilimtoa nishai humu kwa kumueleza ukweli.
Hata kabla hajawa Waziri , Nyalandu alikuwa Jasusi haswa.
Bado wengine kibao ndani ya CHADEMA ni Majasusi waliotumwa kutoka CCM na kuna mpango wa kuwatuma wengine zaidi,wapo halmashauri kuu ya Chama na wengine wapo BAVICHA.
Na ndo hao waliokuwa wakipiga kelele Mbowe aondolewe kwenye nafasi ya mwenyekiti ili Serikali ya CCM iweke mtu wao atakayeua CHADEMA.
CHADEMA inalindwa na Mungu vinginevyo hiki Chama kingekuwa kimeshapotezwa siku nyingi.
CHADEMA ndio inakufa hivyo kifo cha kawaida kama ilivyokufa NCCR, TLP , CUF na sasa ni zamu yenu

Na kibaya zaidi hadi Leo hamjakijua kinacho iua CDM ndio maana mmebaki tu mnatapatapa kwa kuenda na matukio

Kinacho iua CHADEMA ni

1) Laana aliyowachia Dk Slaa

2)Mliunda na kuuvuruga UKAWA kwa ajili ya tamaa zenu za madaraka

3) Misifasifa ya Lisu na kuwashobokea mabeberu

4) Mbowe kunga'ng'ania uenyekiti wakati hana uwezo kuongeza

5) wananchi wameshawazarau baada ya kugundua kumbe nyinyi ni wasanii tu

Kama mnaweza yafanyieni kazi hayo ili CDM ilirudi katika peak
 
CCM wanautaratibu wa kumpata Mwenyekiti, kila baada ya Miaka angalau 10, kwa mihula ya miaka 5 , mitano, isipokuwa ikitokea dharura ya kifo, n.k.
Lakini "Saccos" mpaka miliki aseme ambaye Mzee na Mkwe .
Baada ya kuchukua Nchi CDM itajiwekea utaratibu kama huo. Kumbuka siasa za Mandela za SA.
 
Tanzania majasusi serious hata hwako kwa system tunalewa nao pale ddc mliman park mwenge ,njo ntakuonesha ,sa watu wanashindwa hata kumkamata kigogo unawaitaje majasusi ,jasusi huwa
-wasomi wakalisana kwenye taaluma fulani
-wana mambinu unaweza dhani uchawi mfano kuna mzee anaweza anafungua kufuli yoyote na waya
hawa kina nyalandu ni wakawaida ukweli ni kikwete ndo kamrudisha
 
Nyalandu ameonyesha unafiki mkubwa sana alipokuwa chadema kumbuka maneno yake na kilichotokea
Kilichomtoa CCM Nyarandu ni kutokuwa mnafiki, baada ya Lisu kupigwa risasi karibia wabunge wote wa singida hawakuafiki tukio lile utaona mwigulu, nyarandu na ndiyo kipindi MO yalimkuta ya kumkuta Damu ni nzito kuliko maji, walioweza kubadilika na kuwa kinyonga walidumu lakini wasioweza unafiki ndiyo hivyo. Sasa mtesi hayupo tena, unadhani kwanini hakuunga juhudi enzi za mwendazake
 
Hahhahhaa

Chadema sio chama ni wapuuzi flsni hivi wasiotaka kujifunza kupitia makosa yao
 
Kama ndo hivyo basi ujasusi wa kitanzania ni wakijinga na kinanga kabisa
 
CHADEMA ndo chama pekee kinachotegemewa na Watanzania kama mbadala wa CCM,mateso ya Watanzania dhidi mtesi CCM yanatarajiwa kuondolewa na CHADEMA, Kama ilivyokuwa kwa ANC ya South Africa, CCM ni kaburu wa Tanzania.
Hakuna CCM bila Police,hakuna CCM bila TISS,CCM imeshakufa,uhai wa CCM unategemea mabavu ya Dola.
Hayati ametumia nguvu zake zote alizojua ili kuiua CHADEMA lakini wapi, Chama hiki bado kinapumua hakijafa na hakitakufa.
Uovu wa CCM kwa Watanzania ni mkubwa mno,unahitaji kitabu kuandika juu ya uovu wa CCM kwa Watanzania, Paragraph tu hazitoshi.
Naam,ndoto ya CCM ni kuitawala Tanzania milele,ni ndoto ya mwendawazimu, hakuna aishiye milele zaidi ya MUNGU wetu.
Ili kutimiza ndoto zake za mchana, CCM imejaza Majasusi ndani ya CHADEMA hawa wanajua Siri zote za CHADEMA, yaani Badala TISS wafanye kazi ya kwenda nje kuiba Teknolojia ili Tanzania iwe Taifa kubwa eti wanaiba Siri za CHADEMA,sasa mkiiba hizo Siri zinaisadia nini Tanzania?
Ujio wa Nyalandu CHADEMA ulikuwa ni wa kimkakati,na bahati mbaya kwake hajafanikiwa lolote,Tunamjua Nyalandu kama mtumishi bora na aliyetukuka wa TISS,kwa kipindi kile ilikuwa ni ngumu sana kuongea lakini sasa iko dhahiri kabisa.
Tumeshasems hapa mara nyingi sana kuwa ukishaapa kuwa Jasusi huwezi kuacha ,na ukiacha adhabu yako ni kifo,ndo maana yule jamaa wa Mahenge nilimtoa nishai humu kwa kumueleza ukweli.
Hata kabla hajawa Waziri , Nyalandu alikuwa Jasusi haswa.
Bado wengine kibao ndani ya CHADEMA ni Majasusi waliotumwa kutoka CCM na kuna mpango wa kuwatuma wengine zaidi,wapo halmashauri kuu ya Chama na wengine wapo BAVICHA.
Na ndo hao waliokuwa wakipiga kelele Mbowe aondolewe kwenye nafasi ya mwenyekiti ili Serikali ya CCM iweke mtu wao atakayeua CHADEMA.
CHADEMA inalindwa na Mungu vinginevyo hiki Chama kingekuwa kimeshapotezwa siku nyingi.
Jasusi aliyeiva kwa standard ya Tanzania ni yule ambaye ameenda chama pinzani kuchukua umbea kupeleka chama tawala?

.....km ni kweli basi tutakuwa tume-set standard zetu chini sana.
 
Huyu sio jasus ukwata, uviccm, jipenyezapenyeza kwa mama mkapa wadolf college tz ikamvusha state, akaendelea ujanja wa ccm mtandao ndio katokeamo
 
Ulitaka CHADEMA iwe Kama CUF?

20210502_081123.jpg
 
Back
Top Bottom