Nyalandu ni Jasusi aliyeiva

Nyalandu ni Jasusi aliyeiva

Huyo Mbowe mwenyewe sidhani kama hana uhusiano na TISS.

Siasa zina mengi ya chini kwa chini haswa hizi za kwetu ambazo CCM ina miaka 44 ya uhai wake ikiwa inazifahamu mbinu safi na chafu.
 
CHADEMA CHADEMA CHADEMA

Kubalini kukosolewa, kukataliwa, au watu kuhama vyama.

Just because focus yetu iko kwa CCM, it does not necessarily means you're perfect.

Hamkataliwi ninyi ni nani ???

Hili neno la cdm ikubali kukosolewa naona umelitumia kama bendera fuata upepo. Kwakuwa huwa unaliona likisemwa humu, na ww automatically umeamua kuliandika.
 
Linatumiwa na nani??
 
CHADEMA ndo chama pekee kinachotegemewa na Watanzania kama mbadala wa CCM,mateso ya Watanzania dhidi mtesi CCM yanatarajiwa kuondolewa na CHADEMA, Kama ilivyokuwa kwa ANC ya South Africa, CCM ni kaburu wa Tanzania.
Hakuna CCM bila Police,hakuna CCM bila TISS,CCM imeshakufa,uhai wa CCM unategemea mabavu ya Dola.
Hayati ametumia nguvu zake zote alizojua ili kuiua CHADEMA lakini wapi, Chama hiki bado kinapumua hakijafa na hakitakufa.
Uovu wa CCM kwa Watanzania ni mkubwa mno,unahitaji kitabu kuandika juu ya uovu wa CCM kwa Watanzania, Paragraph tu hazitoshi.
Naam,ndoto ya CCM ni kuitawala Tanzania milele,ni ndoto ya mwendawazimu, hakuna aishiye milele zaidi ya MUNGU wetu.
Ili kutimiza ndoto zake za mchana, CCM imejaza Majasusi ndani ya CHADEMA hawa wanajua Siri zote za CHADEMA, yaani Badala TISS wafanye kazi ya kwenda nje kuiba Teknolojia ili Tanzania iwe Taifa kubwa eti wanaiba Siri za CHADEMA,sasa mkiiba hizo Siri zinaisadia nini Tanzania?
Ujio wa Nyalandu CHADEMA ulikuwa ni wa kimkakati,na bahati mbaya kwake hajafanikiwa lolote,Tunamjua Nyalandu kama mtumishi bora na aliyetukuka wa TISS,kwa kipindi kile ilikuwa ni ngumu sana kuongea lakini sasa iko dhahiri kabisa.
Tumeshasems hapa mara nyingi sana kuwa ukishaapa kuwa Jasusi huwezi kuacha ,na ukiacha adhabu yako ni kifo,ndo maana yule jamaa wa Mahenge nilimtoa nishai humu kwa kumueleza ukweli.
Hata kabla hajawa Waziri , Nyalandu alikuwa Jasusi haswa.
Bado wengine kibao ndani ya CHADEMA ni Majasusi waliotumwa kutoka CCM na kuna mpango wa kuwatuma wengine zaidi,wapo halmashauri kuu ya Chama na wengine wapo BAVICHA.
Na ndo hao waliokuwa wakipiga kelele Mbowe aondolewe kwenye nafasi ya mwenyekiti ili Serikali ya CCM iweke mtu wao atakayeua CHADEMA.
CHADEMA inalindwa na Mungu vinginevyo hiki Chama kingekuwa kimeshapotezwa siku nyingi.
Tanzania kila Mtu alienda Chadema na kutoka ni JASUSI
 
Basi mimi sina chama ila ninaliona hilo na kila siku nalizungumza humu.

Sema uliwahi kushauri nini kisha wakakataa ili kujua kuwa ww sio bendera fuata upepo.
 
CHADEMA itashika dola muda si mrefu katika mazingira ambayo hayakutaraiwa..
Moyo unataka kuiamini hii na kushangilia ila akili inaniambia niachane na ndoto hizi

Kwa NEC hii? Kwa hawa maDC ambao ghafla wanakuwa makatibu wakuu wa chama? Kwa hawa wanajeshi na majaji wanaotembea na kadi za CCM kwenye dashboards za magari yao?

CHADEMA inaweza kuja kuchukua dola labda mwaka 2098 huko sote humu tukiwa tulishakufa
 
nakazia point ya muanzisha mada.
majasusi wa tanzania badala ya kuwekeza nguvu, akili na umahiri katika kuiba blueprint zinazohusu teknolojia ya mataifa mengine na kuzileta nchini, wanawekeza mda wao katika kudhibiti vyama vya upinzani.

china imefika hapo ilipo kiteknolojia baada ya kuwatumia vizuri majasusi wake kuiba teknoloji za mataifa ya magharibi. leo hii asilimia kubwa ya vifaa vya kielektoniki tunavyotumia hapa tz vinatoka china.
Yaani huwa nashangaa Sana hapo ndio huwa siwaelewi hao wanafanya hizo kazi za ujasusi .

Walipaswa waende kufanyia ujasusi chini,Japan,marekani, wailetee nchi faida

Wanaenda fanya ujasusi chadema [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Kwanini mnafikiri kuna mipango ya kutaka kuiuwa chadema kabisa halafu et hiyo mipango inashindwa! Ukiangalia hiyo chadema yenyewe imebebwa na Mbowe tu kinyume na hivyo hakuna misingi yeyote ya kufanya useme kwa misingi ndio inafanya cdm isife hadi leo na ndio mnasema kinalindwa na Mungu maana ukiangalia chama kama chama chenyewe huoni misingi yeyote. unaweza ukalala kesho asubuhi ukasikia kiongozi fulani kaunga juhudi au sijui fisadi gani kutoka huko ccm kahamia cdm yani ni mauzauza tu.

Hivi akitoka Mbowe kunabaki chadema pale? Chama ambacho ccm wanakichezea chezea tu wanaingia na kutoka halafu mtu anajisifu et ni chama imara hakiwezi kufa, kwa misingi ipi?
 
CHADEMA ndo chama pekee kinachotegemewa na Watanzania kama mbadala wa CCM,mateso ya Watanzania dhidi mtesi CCM yanatarajiwa kuondolewa na CHADEMA, Kama ilivyokuwa kwa ANC ya South Africa, CCM ni kaburu wa Tanzania.
Hakuna CCM bila Police,hakuna CCM bila TISS,CCM imeshakufa,uhai wa CCM unategemea mabavu ya Dola.
Hayati ametumia nguvu zake zote alizojua ili kuiua CHADEMA lakini wapi, Chama hiki bado kinapumua hakijafa na hakitakufa.
Uovu wa CCM kwa Watanzania ni mkubwa mno,unahitaji kitabu kuandika juu ya uovu wa CCM kwa Watanzania, Paragraph tu hazitoshi.
Naam,ndoto ya CCM ni kuitawala Tanzania milele,ni ndoto ya mwendawazimu, hakuna aishiye milele zaidi ya MUNGU wetu.
Ili kutimiza ndoto zake za mchana, CCM imejaza Majasusi ndani ya CHADEMA hawa wanajua Siri zote za CHADEMA, yaani Badala TISS wafanye kazi ya kwenda nje kuiba Teknolojia ili Tanzania iwe Taifa kubwa eti wanaiba Siri za CHADEMA,sasa mkiiba hizo Siri zinaisadia nini Tanzania?
Ujio wa Nyalandu CHADEMA ulikuwa ni wa kimkakati,na bahati mbaya kwake hajafanikiwa lolote,Tunamjua Nyalandu kama mtumishi bora na aliyetukuka wa TISS,kwa kipindi kile ilikuwa ni ngumu sana kuongea lakini sasa iko dhahiri kabisa.
Tumeshasems hapa mara nyingi sana kuwa ukishaapa kuwa Jasusi huwezi kuacha ,na ukiacha adhabu yako ni kifo,ndo maana yule jamaa wa Mahenge nilimtoa nishai humu kwa kumueleza ukweli.
Hata kabla hajawa Waziri , Nyalandu alikuwa Jasusi haswa.
Bado wengine kibao ndani ya CHADEMA ni Majasusi waliotumwa kutoka CCM na kuna mpango wa kuwatuma wengine zaidi,wapo halmashauri kuu ya Chama na wengine wapo BAVICHA.
Na ndo hao waliokuwa wakipiga kelele Mbowe aondolewe kwenye nafasi ya mwenyekiti ili Serikali ya CCM iweke mtu wao atakayeua CHADEMA.
CHADEMA inalindwa na Mungu vinginevyo hiki Chama kingekuwa kimeshapotezwa siku nyingi.
Mbowe mwenyewe anakula CCM analala chadema.

Bisha tukuwekee ukweli na uwazi hapa Sasa hivi.
 
Niliposema kuwa ww ni bendera fuata upepo sikusem kwa bahati mbaya. Nimekuambia useme uliwashauri nini cdm, nilitarajia ungesema kipi uliwashauri officially, kumbe ni hizi porojo za huku mitandaoni. Sasa ni hivi, humu jukwaani sio ofisi ya cdm au chama chochote cha siasa, hivyo kama unataka kutoa ushauri peleka kwenye ofisi zao ili uwe na uhalali wa kusema umekishauri cdm, au chama kingine chochote.

Wangalau ungepeleka huo unaoita ushauri kwa verified user wa cdm, hapo ungekuwa na walau nusu ya uhalali ya ulichosema. Huku unajadiliana na manazi wa cdm na wala hawana mamlaka yoyote, na wala hawajatumwa na cdm kusema wanachokisema zaidi ya hisia zao. Namalizia kwa kusema, acha kuwa bendera fuata upepo wakati hujui chama ni nini, na kelele za manazi huku mitandaoni ni nini. Ukifanikiwa kujua tofauti ya chama na mashabiki wa mitandaoni, ndio uje uendelee na mjadala.
Wewe ni mpumbavu na msukule.

Wewe humu unafanya nini MACHAGA?

Wewe unapowakosoa CCM, ACT, CHAUMA, TLP huwa unapeleka kwenye ofisi zao??

Huna akili. Takataka
 
CHADEMA ndo chama pekee kinachotegemewa na Watanzania kama mbadala wa CCM,mateso ya Watanzania dhidi mtesi CCM yanatarajiwa kuondolewa na CHADEMA, Kama ilivyokuwa kwa ANC ya South Africa, CCM ni kaburu wa Tanzania.
Hakuna CCM bila Police,hakuna CCM bila TISS,CCM imeshakufa,uhai wa CCM unategemea mabavu ya Dola.
Hayati ametumia nguvu zake zote alizojua ili kuiua CHADEMA lakini wapi, Chama hiki bado kinapumua hakijafa na hakitakufa.
Uovu wa CCM kwa Watanzania ni mkubwa mno,unahitaji kitabu kuandika juu ya uovu wa CCM kwa Watanzania, Paragraph tu hazitoshi.
Naam,ndoto ya CCM ni kuitawala Tanzania milele,ni ndoto ya mwendawazimu, hakuna aishiye milele zaidi ya MUNGU wetu.
Ili kutimiza ndoto zake za mchana, CCM imejaza Majasusi ndani ya CHADEMA hawa wanajua Siri zote za CHADEMA, yaani Badala TISS wafanye kazi ya kwenda nje kuiba Teknolojia ili Tanzania iwe Taifa kubwa eti wanaiba Siri za CHADEMA,sasa mkiiba hizo Siri zinaisadia nini Tanzania?
Ujio wa Nyalandu CHADEMA ulikuwa ni wa kimkakati,na bahati mbaya kwake hajafanikiwa lolote,Tunamjua Nyalandu kama mtumishi bora na aliyetukuka wa TISS,kwa kipindi kile ilikuwa ni ngumu sana kuongea lakini sasa iko dhahiri kabisa.
Tumeshasems hapa mara nyingi sana kuwa ukishaapa kuwa Jasusi huwezi kuacha ,na ukiacha adhabu yako ni kifo,ndo maana yule jamaa wa Mahenge nilimtoa nishai humu kwa kumueleza ukweli.
Hata kabla hajawa Waziri , Nyalandu alikuwa Jasusi haswa.
Bado wengine kibao ndani ya CHADEMA ni Majasusi waliotumwa kutoka CCM na kuna mpango wa kuwatuma wengine zaidi,wapo halmashauri kuu ya Chama na wengine wapo BAVICHA.
Na ndo hao waliokuwa wakipiga kelele Mbowe aondolewe kwenye nafasi ya mwenyekiti ili Serikali ya CCM iweke mtu wao atakayeua CHADEMA.
CHADEMA inalindwa na Mungu vinginevyo hiki Chama kingekuwa kimeshapotezwa siku nyingi.
Na yeyote atakayekuwa na nia mbaya na Chadema lazima yamkute mabaya na hata mauti.
 
Wewe ni mpumbavu na msukule.

Wewe humu unafanya nini MACHAGA?

Wewe unapowakosoa CCM, ACT, CHAUMA, TLP huwa unapeleka kwenye ofisi zao??

Huna akili. Takataka

Nilijua lazima utapanick, hapo habari yako imeisha. Hiyo tu inatosha kujua kwamba huna uwezo wa kutetea ulichoongea. Halafu watu wa aina yako huwa nawamudu kwa 100%. Acha nikupe pole tu kwa sasa.
 
Back
Top Bottom