Nyalandu kufa kisiasa kama Lowassa na Lembeli

Lazaro Nyalandu naye inaonekana amefanya kosa linalofanana kabisa na kosa lililofanywa na akina Lowassa na Lembeli. Ni kosa la kudhani kwamba unapendwa sana na unamashabiki wengi ambao wataambatana na wewe popote utakapokuwa. Ni kosa la kuona kwa “hakuna mtu mwingine” zaidi yako atakayeweza kufanya kile ulichokuwa ukikifanya katika ubora uleule au hata zaidi yako. Ni kosa la “miscalculation” na kuwa “overoptimistic” juu yako mwenyewe.

Kilichowapata Lowassa na Lembeli sote tunajua. Sasa wamepotea kabisa katika uringo wa siasa, hakuna anayewataja tena. Watu waliodhani kwamba wangewafuata kule waliko, waliamua kubaki ndani ya hema la CCM ambako waliona ni salama zaidi ya kwenda wasikokujua. Hakika lilikuwa ni kosa kubwa la kujivika “Umungu Mtu” lililopelekea kufa kabisa kisiasa.

Cha ajabu sana tena sana, Lazaro naye amecheza mchezo huo kwa namna ile ile ulivyochezwa na L&L. Mwalimu Nyerere alipata kusema, kuna wakati mtu unajiita au kuitwa vile unavyojiita au kuitwa kwa sababu ya mfumo uliopo ndani yake; nje ya huo mfumo si wewe tena; akitumia maneno “Nje ya Muungano hakuna Mzanzibari ila kuna Muunguja na Mpemba”. Hawa 3L’s wameshindwa kuliona hilo kabisa, kwamba wanatazamwa vile walivyo wakiwa ndani ya mfumo uliowajenga, nje ya hapo they are not the same. Zaidi ya hapo Lazaro alishindwa kukumbuka kwamba, yeye katika uringo wa siasa aliibuka tu kama uyoga, hakuwa na background strong sana kama akina Lowassa ambao pia wamepotezwa, lakini bado akashupaa shingo na kudanganyika kwamba ataendelea kuwa on top hata ndani ya mfumo mpya. Goodbye forever Lazaro, tutai-miss sana sauti yako Bungeni.
Huyo alishasoma wazi upepo haukuwa upande wake ndani ya CCM, ni lazima angeangushwa tu.
Kama mnakumbuka majina mengi makubwa na marufuku ya wabunge wa CCM hawakupitishwa na Chama hicho kwenye term ya II ya Mkwere na hali hiyo ndiyo ninayoiona mwaka 2020. Hata hivyo mabadiliko ya Kikwete yatazidiwa mbali na ya JPM kwa kuwa huyu amebadilisha kabisa uongozi ndani ya CCM na Serikali kuliko Kikwete aliyobadilisha ya Mkapa. Hivyo wabunge na mawaziri mizigo wasioendana na kasi ya JPM wanajua tu panga linawasubiri.
Mtu atauliza mbona mawaziri wengine ni mizigo, sasa angewatoa wapi? Ngojeni 2020 mtaona mabadiliko makubwa. Ndio maana hata wabunge wengi licha ya kutoongea waziwazi hawampendi Magufuli siyo kwa kigezo cha uongozi wake bali woman wao wa kuliwa vichwa 2020. Mtamuona Magufuli wa kweli 2021, kipindi ambacho Serikali itaongozwa na watu wa aina yake, huku kwenye Chama pia wakubwa watu wanaoenenda na kasi yake baada ya kumaliza chaguzi za CCM mwishoni mwa mwaka huu 2017.
Wanaojidai kumpinga pinga mtaona kama watakuwepo, watapukutika wenyewe.
But we will never for a time to come to have such a wonderful personality of Magufuli caliber, never. Ngoja siku akiondoka madarakani, mtashangaa mtakuwa mki-compare na viongozi bora kabisa kuwahi kutokea barani Afrika, probably the best in the developing world of our time.
 
Sasa kuwa hai kisiasa huku ukilamba miguu ya wenzio faida yake nini, sio wote waliozaliwa na hulka ya kijipendekeza kama nyie.

Historia inatuonyesha kuwa Boot Lickers wote waga wanamaliza vibaya maisha yao hapa duniani. Refer history.
 
Opposition bado hawanipi ushawishi kwa namna wanavyofanya siasa zao za kuchukua watu ambao wametoka kwenye mfumo na serikali tawala bado imani yangu inakuwa ndogo nakujiuliza wanaleta nini kipya kwenye chama ni ideas gani wanakuja Nazo ...
 
Tusiwe na tabia ya kusahau kwasababu tu yuko upande flani!
Hataonewa kwasababu yuko upande flani ila Mali za maskini wa Tanzania alizowapa wazungu kwa maslahi binafsi ni lazima aeleze.
Suppose mumemfungulia mashitaka kisha akaamua kurejea ccm, je mtamfutia kesi?
 
Huyo alishasoma wazi upepo haukuwa upande wake ndani ya CCM, ni lazima angeangushwa tu.
Kama mnakumbuka majina mengi makubwa na marufuku ya wabunge wa CCM hawakupitishwa na Chama hicho kwenye term ya II ya Mkwere na hali hiyo ndiyo ninayoiona mwaka 2020. Hata hivyo mabadiliko ya Kikwete yatazidiwa mbali na ya JPM kwa kuwa huyu amebadilisha kabisa uongozi ndani ya CCM na Serikali kuliko Kikwete aliyobadilisha ya Mkapa. Hivyo wabunge na mawaziri mizigo wasioendana na kasi ya JPM wanajua tu panga linawasubiri.
Mtu atauliza mbona mawaziri wengine ni mizigo, sasa angewatoa wapi? Ngojeni 2020 mtaona mabadiliko makubwa. Ndio maana hata wabunge wengi licha ya kutoongea waziwazi hawampendi Magufuli siyo kwa kigezo cha uongozi wake bali woman wao wa kuliwa vichwa 2020. Mtamuona Magufuli wa kweli 2021, kipindi ambacho Serikali itaongozwa na watu wa aina yake, huku kwenye Chama pia wakubwa watu wanaoenenda na kasi yake baada ya kumaliza chaguzi za CCM mwishoni mwa mwaka huu 2017.
Wanaojidai kumpinga pinga mtaona kama watakuwepo, watapukutika wenyewe.
But we will never for a time to come to have such a wonderful personality of Magufuli caliber, never. Ngoja siku akiondoka madarakani, mtashangaa mtakuwa mki-compare na viongozi bora kabisa kuwahi kutokea barani Afrika, probably the best in the developing world of our time.
Mkuu ni kweli jamaa yupo kwenye economic and political transition period where many challenges will be experience and rise!
The issue ni kwamba hatuwezi ona impacts Yake kwa sasa na ndani ya muda mfupi, na uhakika mpaka 2020-2022 tutaanza kuona lengo la jamaa lilikua ni nin!
Katika tawala zijazo hata atakapomaliza mda wake ataacha mfumo ulio bora kabisa kwa taifa letu.
Hata upinzani watakuja kumsifu na kumpongeza pindi atakapo kuwa amemaliza mda wake!
Mda ni wakati mzuri sana. It will tell
 
Kwani Akifa kisiasa wewe kinachokuuma nini, anakula kwako au Maisha yake utayaendesha wewe?? Ulitaka aendelee kubaki Ccm .rudi darasani
Natamani ungekua mahabuba wangu kwa huu mchango wako unsonesha hu umkomavu kiakili
 
Nimeamini ibilisi yuko hai, mtu akiwa fisiem ni mzuri, akihama kafa kisiasa

Kuna mambo hata ujifanye hutaki kuyasikia, lakini ukweli wake utabaki pale pale. Najua unalitambua hilo kwa sababu liko wazi kibisa
 
....Mkuu politics is all about taking risks, politics is so dynamic...assume kama Liwassa asingefanya alichofanya angekuwa wapi sasa? Where is Membe?

Hao wote walidhani wanapendwa sana, kumbe watu walipenda mfumo na components parts zake. Being isolated as a component of a system waliona vividly kwamba watu hawawapendi wao as individuals
 
Huyo alishasoma wazi upepo haukuwa upande wake ndani ya CCM, ni lazima angeangushwa tu.
Kama mnakumbuka majina mengi makubwa na marufuku ya wabunge wa CCM hawakupitishwa na Chama hicho kwenye term ya II ya Mkwere na hali hiyo ndiyo ninayoiona mwaka 2020. Hata hivyo mabadiliko ya Kikwete yatazidiwa mbali na ya JPM kwa kuwa huyu amebadilisha kabisa uongozi ndani ya CCM na Serikali kuliko Kikwete aliyobadilisha ya Mkapa. Hivyo wabunge na mawaziri mizigo wasioendana na kasi ya JPM wanajua tu panga linawasubiri.
Mtu atauliza mbona mawaziri wengine ni mizigo, sasa angewatoa wapi? Ngojeni 2020 mtaona mabadiliko makubwa. Ndio maana hata wabunge wengi licha ya kutoongea waziwazi hawampendi Magufuli siyo kwa kigezo cha uongozi wake bali woman wao wa kuliwa vichwa 2020. Mtamuona Magufuli wa kweli 2021, kipindi ambacho Serikali itaongozwa na watu wa aina yake, huku kwenye Chama pia wakubwa watu wanaoenenda na kasi yake baada ya kumaliza chaguzi za CCM mwishoni mwa mwaka huu 2017.
Wanaojidai kumpinga pinga mtaona kama watakuwepo, watapukutika wenyewe.
But we will never for a time to come to have such a wonderful personality of Magufuli caliber, never. Ngoja siku akiondoka madarakani, mtashangaa mtakuwa mki-compare na viongozi bora kabisa kuwahi kutokea barani Afrika, probably the best in the developing world of our time.

Well said, kwa hiyo tutarajie magamba wengi kujiondoa wao wenyewe? Kwa kweli "kujipima mwenyewe" wakati wa JK ni tofauti kabisa na sasa. Kwa sasa watu wanajipima then wanasema wakati enzi za JK kuna watu walisema "Nikijiuzulu hata Rais atashangaa".
 
Sasa kuwa hai kisiasa huku ukilamba miguu ya wenzio faida yake nini, sio wote waliozaliwa na hulka ya kijipendekeza kama nyie.

Historia inatuonyesha kuwa Boot Lickers wote waga wanamaliza vibaya maisha yao hapa duniani. Refer history.

LN kama ilivyo kwa wanasiasa wengi wanaojifanya kuhama chama kimoja hadi kingine ni wale wanaopenda ku-manipulate tu akili za watu wasiojitambua. Mara nyingi wanapenda kudandia kwenye issues zinazovuta sana hisia za watu ni order to win their emotions. Mfano tumeona LN lately, akijitolea sana kwenye majanga mbalimbali na zaidi sana akawa mstari wa mbele kwenye issue ya TAL. Baada ya kuona watu wameshamuona na kusahau uozo wake, basi akatafuta kichaka cha kuepushia lawama zake. Sioni kama LN ni mtu wa tofauti sana na wengi walioondoka katika vyama vyao.
 
Opposition bado hawanipi ushawishi kwa namna wanavyofanya siasa zao za kuchukua watu ambao wametoka kwenye mfumo na serikali tawala bado imani yangu inakuwa ndogo nakujiuliza wanaleta nini kipya kwenye chama ni ideas gani wanakuja Nazo ...

Moreover, ni wale watu ambao walitumia nguvu sana kuwachafua pindi wakiwa sehemu ya chama tawala.
 
Kufanya siasa kwa Nyalandu kwa sasa si kipaumbele chake,Nyalandu amekwenda chadema kujificha tu baada ya kuona uchunguzi unamnyemelea yeye tu,kaona akajifiche kwenye pango la wezi,ili mkono wa dola ukimfikia,ionekane anakomolewa kisiasa.
Nyalandu ana ubia na makampuni makubwa ya kimarekani,hawatamvumilia wakisia alikua mwizi wa nyara,akaona ngao ni kuwa mpinzani ili ajitetee kuwa anakomolewa kisiasa.
 
Suppose mumemfungulia mashitaka kisha akaamua kurejea ccm, je mtamfutia kesi?

Kwani kuna mahali umeona nimeandika kuwa ameshitakiwa? Kama atashitakiwa kwa kuwa ni mkosaji, basi sidhani kama CCM watakuwa na mamlaka ya kumfutia kesi yake/zake.
 
Heti lowassa kafa kisiasa!!wakati akipiga chafya tu mnakusanya polis muwasaksie alipo
 
Sidhani kama umefiria vyema kwa kusema yeye kajiona anapendwa sana na hakuna mtu mwingine zaidi yake..

Mtu kaamua kuutema ubunge na kuhamia chama kingine,tena chama pinzani chenye kuandamwa kwa uonevu na serikali pamoja na vyombo vya usalama bado una mawazo ya kuwa huyu mtu anahitaji Kiki ili abaki kwenye ramani za siasa !!!

Nyie na bashite wenu endeleeni kutafuta kiki kila leo ili msipotee kwenye ramani za siasa,tunanataka tuone mpk mwisho wenu ukoje

Na hayo maneno yenu muyasemege wakiwa bado wamo kwenye chama chenu,mnachofanya sasa ni sawa na mwanamke baada kuachwa ndo anapata kujua kwamba jamaa ana kibamia.....uuffffff !!!!!!
 
Kufanya siasa kwa Nyalandu kwa sasa si kipaumbele chake,Nyalandu amekwenda chadema kujificha tu baada ya kuona uchunguzi unamnyemelea yeye tu,kaona akajifiche kwenye pango la wezi,ili mkono wa dola ukimfikia,ionekane anakomolewa kisiasa.
Nyalandu ana ubia na makampuni makubwa ya kimarekani,hawatamvumilia wakisia alikua mwizi wa nyara,akaona ngao ni kuwa mpinzani ili ajitetee kuwa anakomolewa kisiasa.

Lakini cha kushangaza waliojifanya wanapinga wizi wa mali za umma, ndio kwanza wanawapokea wezi na wabadhirifu wa mali hizo kama mashujaa. Kwa kweli ni ngumu sana kuwaelewa hawa wanaharakati wa upinzani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom