Nyalandu kufa kisiasa kama Lowassa na Lembeli

Kinachoniuma ni kuwa watu mnamshangilia blindly, wakati hapo awali vilevile mlikuwa mkimponda kwamba anawapandisha ndege Twiga na wanyama wengine. Kweli, nimeamini ukiwa CDM hata uwe mwizi basi wewe ni shujaa. Mie madarasa nishamaliza ndugu yangu. I don't need any more classes
Pambana na Hali yako mipango ya mtu inamuhusu mtu mwenyewe
 
Lazaro Nyalandu naye inaonekana amefanya kosa linalofanana kabisa na kosa lililofanywa na akina Lowassa na Lembeli. Ni kosa la kudhani kwamba unapendwa sana na unamashabiki wengi ambao wataambatana na wewe popote utakapokuwa. Ni kosa la kuona kwa “hakuna mtu mwingine” zaidi yako atakayeweza kufanya kile ulichokuwa ukikifanya katika ubora uleule au hata zaidi yako. Ni kosa la “miscalculation” na kuwa “overoptimistic” juu yako mwenyewe.

Kilichowapata Lowassa na Lembeli sote tunajua. Sasa wamepotea kabisa katika uringo wa siasa, hakuna anayewataja tena. Watu waliodhani kwamba wangewafuata kule waliko, waliamua kubaki ndani ya hema la CCM ambako waliona ni salama zaidi ya kwenda wasikokujua. Hakika lilikuwa ni kosa kubwa la kujivika “Umungu Mtu” lililopelekea kufa kabisa kisiasa.

Cha ajabu sana tena sana, Lazaro naye amecheza mchezo huo kwa namna ile ile ulivyochezwa na L&L. Mwalimu Nyerere alipata kusema, kuna wakati mtu unajiita au kuitwa vile unavyojiita au kuitwa kwa sababu ya mfumo uliopo ndani yake; nje ya huo mfumo si wewe tena; akitumia maneno “Nje ya Muungano hakuna Mzanzibari ila kuna Muunguja na Mpemba”. Hawa 3L’s wameshindwa kuliona hilo kabisa, kwamba wanatazamwa vile walivyo wakiwa ndani ya mfumo uliowajenga, nje ya hapo they are not the same. Zaidi ya hapo Lazaro alishindwa kukumbuka kwamba, yeye katika uringo wa siasa aliibuka tu kama uyoga, hakuwa na background strong sana kama akina Lowassa ambao pia wamepotezwa, lakini bado akashupaa shingo na kudanganyika kwamba ataendelea kuwa on top hata ndani ya mfumo mpya. Goodbye forever Lazaro, tutai-miss sana sauti yako Bungeni.
Kaamua kuwa hiyo kuliko kubakia katika system ambayo hana imani nayo hiyo bwana anafikiri kwa kutumia ubongo CIO hao wangine waofikiri kwa kutumia matumbo yao yaliyo matupu.
 
Kwani huko CCM ni mwanasiasa gani aliye hai na active ?! Ukiondoa bashite na mjombaake ! Ni bora kutoka ukawa huru kimawazo, badala ya kushangilia hata nonsense kwa kusubiri cheo

Lakini hali ya kawaida inaonesha tu kwamba watu wanavuma wakiwa ndani ya mfumo huo uliowajenga kisiasa. Pindi wakitoka nje, wanapotea mazima, so why tutegemee tofauti kutoka kwa L.N ikiwa wote waliotoka kabla yake ambao pia walikuwa prominent zaidi yake wamepotezwa??
 
Tusiwe na tabia ya kusahau kwasababu tu yuko upande flani!
Hataonewa kwasababu yuko upande flani ila Mali za maskini wa Tanzania alizowapa wazungu kwa maslahi binafsi ni lazima aeleze.
 
Walio nje ya system wanavuma na wako hai ni siasa na ndio maana mnawashambulia kwa risasi zisizo na idadi, kesi zisizo na tija kwa taifa nk.

System hii unayoiabudu inawalazimisha wawakilishi wa wananchi kuufyata, hata pale ubinadamu unapotakiwa. Hii yenu lazima ifeli kama zingine haina jipya zaidi ya kutafuta kick ya kufungua viwanda vya 2002 [emoji85] [emoji23] [emoji12]
 
Ni kweli kabisa, haonewi mtu hapa; haki lazima itendeke.
 
Walio nje ya system wanavuma na wako hai ni siasa na ndio maana mnawashambulia kwa risasi zisizo na idadi, kesi zisizo na tija kwa taifa nk.

System hii unayoiabudu inawalazimisha wawakilishi wa wananchi kuufyata, hata pale ubinadamu unapotakiwa. Hii yenu lazima ifeli kama zingine haina jipya zaidi ya kutafuta kick ya kufungua viwanda vya 2002 [emoji85] [emoji23] [emoji12]

Weka hisia zako pembeni halafu base kwenye reality. Siabudu system yoyote, lakini pia ukweli uko wazi kabisa na mara zote huwa ni mchungu sana.
 
Ukweli upi?! Kwamba ukiihama CCM unapotea kisiasa ?! Mimi siamini hivyo, bali ccm na dola kwa ujumla hujitahidi kuwapoteza wapinzani. Lakini kumbuka hata uongozi wa sasa, ulilazimika kutengeneza mahesabu kupata hata hiyo 58%.
 
Nyalandu ameonyesha ujasiri mkubwa sana kwasababu anajiamini kwa mambo mengi,leo hii kuna wanachama wengi wa chama lawanu wanatamani wangekuwa na ujasiri huo lakini wanawaza watakula wapi,wataishije? Wanaishi kwa mirija ya chama na hivyo kuwa na woga wa kuondoka hata kama wanatamani kufanya hivyo.Hilo ndio tatizo kubwa. Kama ukiangalia vizuri wale wote waliotoka ccm wanauwezo mzuri wa kuendesha maisha yao nje ya kuwa wanachama wa ccm.
 
Argument yako ni ngumu kui-justify maana najua hata ushahidi huna bali bado unatawaliwa na hisia zaidi
 
Nyalandu ameonyesha ujasiri mkubwa sana kwasababu anajiamini kwa mambo mengi,leo hii kuna wanachama wengi wa chama lawanu wanatamani wangekuwa na ujasiri huo lakini wanawaza watakula wapi,wataishije? Wanaishi kwa mirija ya chama na hivyo kuwa na woga wa kuondoka hata kama wanatamani kufanya hivyo.Hilo ndio tatizo kubwa. Kama ukiangalia vizuri wale wote waliotoka ccm wanauwezo mzuri wa kuendesha maisha yao nje ya kuwa wanachama wa ccm.

Na waliotoka CDM hali zao zikoje?
 
Haijanipata naona Nyalandu kutoka Ccm imekuuma mpaka kumuanzishia hoja. Mchana mwema

Haiwezi niuma mimi bali ni analysis tu, wasalimie huko uendako waambie tu kuwa Nyalandu kapotea njia mazima
 
Lazaro Nyalandu naye inaonekana amefanya kosa linalofanana kabisa na kosa lililofanywa na akina Lowassa na Lembeli. Ni kosa la kudhani kwamba unapendwa sana na unamashabiki wengi ambao wataambatana na wewe popote utakapokuwa. Ni kosa la kuona kwa “hakuna mtu mwingine” zaidi yako atakayeweza kufanya kile ulichokuwa ukikifanya katika ubora uleule au hata zaidi yako. Ni kosa la “miscalculation” na kuwa “overoptimistic” juu yako mwenyewe.

Kilichowapata Lowassa na Lembeli sote tunajua. Sasa wamepotea kabisa katika uringo wa siasa, hakuna anayewataja tena. Watu waliodhani kwamba wangewafuata kule waliko, waliamua kubaki ndani ya hema la CCM ambako waliona ni salama zaidi ya kwenda wasikokujua. Hakika lilikuwa ni kosa kubwa la kujivika “Umungu Mtu” lililopelekea kufa kabisa kisiasa.

Cha ajabu sana tena sana, Lazaro naye amecheza mchezo huo kwa namna ile ile ulivyochezwa na L&L. Mwalimu Nyerere alipata kusema, kuna wakati mtu unajiita au kuitwa vile unavyojiita au kuitwa kwa sababu ya mfumo uliopo ndani yake; nje ya huo mfumo si wewe tena; akitumia maneno “Nje ya Muungano hakuna Mzanzibari ila kuna Muunguja na Mpemba”. Hawa 3L’s wameshindwa kuliona hilo kabisa, kwamba wanatazamwa vile walivyo wakiwa ndani ya mfumo uliowajenga, nje ya hapo they are not the same. Zaidi ya hapo Lazaro alishindwa kukumbuka kwamba, yeye katika uringo wa siasa aliibuka tu kama uyoga, hakuwa na background strong sana kama akina Lowassa ambao pia wamepotezwa, lakini bado akashupaa shingo na kudanganyika kwamba ataendelea kuwa on top hata ndani ya mfumo mpya. Goodbye forever Lazaro, tutai-miss sana sauti yako Bungeni.
Nimeamini ibilisi yuko hai, mtu akiwa fisiem ni mzuri, akihama kafa kisiasa
 
Sina hasira hata kidogo, ni mtazamo wangu tu
....Mkuu politics is all about taking risks, politics is so dynamic...assume kama Liwassa asingefanya alichofanya angekuwa wapi sasa? Where is Membe?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom