uongo utakusaidia nini ?Huyo ana hasira za mkizi. Kakosa nafasi ya uwaziri. Watu wake wa vitalu vya uwindaji wamepigwa chini. Ndio maana unaona anafanya harakati za hasira na aio za mahaba. Kina lema na kina sugu wenyewe walishaachana na harakati hizo. Kina mnyika wote hata hawatoi matamko. Huyo joto likishuka atapoa na kurudi ccm akisema chadema kila mtu ni kambale.
Maisha yanaenda kasi sana. Akirudi chumbani anaanza kulia. Kutoka Waziri Wa Maliasili na Utalii mpaka mtembezi Wa mtaani akinadi fulana za bavicha!
Wacha kumfananisha Nyalandu na mambo ya kijingaSijui, labla ni mawazo yangu tu. Lakini naona kama kuna siku Nyalandu atajitoa Chadema au hata kurudi CCM tena kama walivyofanya Lowassa na Masha.
masha alishikwa pabaya! roho iko CDM!Masha.
Usimuamini mwanasiasa mkuuSijui, labla ni mawazo yangu tu. Lakini naona kama kuna siku Nyalandu atajitoa Chadema au hata kurudi CCM tena kama walivyofanya Lowassa na Masha.
Hahahaaaa just hahaaaaMwenzio ni bilionea huyo....we endelea kumponda wakati unashindilia ugali na maharage!