Baada ya kudharauliwa kwa muda mrefu Watanzania sasahivi wamejipata. Kuna Jeshi la Mashambulizi limezaliwa Jana Tanzania linaitwa Tanzanians on Instagram (IG). Watu hawa wameanza kazi jana tu ila Pages zote za Serikali na machawa zilifunga comment sections. Mashambulizi yao nyuki wanasubiri😄Jamuhuri ya Insta tushaamua no reform no election na ku unfollow juu
Chadema ni 🔥 Mkuu
Baada ya kudharauliwa kwa muda mrefu Watanzania sasahivi wamejipata. Kuna Jeshi la Mashambulizi limezaliwa Jana Tanzania linaitwa Tanzanians on Instagram (IG). Watu hawa wameanza kazi jana tu ila Pages zote za Serikali na machawa zilifunga comment sections. Mashambulizi yao nyuki wanasubiri😄
Baada ya kudharauliwa kwa muda mrefu Watanzania sasahivi wamejipata. Kuna Jeshi la Mashambulizi limezaliwa Jana Tanzania linaitwa Tanzanians on Instagram (IG). Watu hawa wameanza kazi jana tu ila Pages zote za Serikali na machawa zilifunga comment sections. Mashambulizi yao nyuki
Kunaenda kupambazuka sasa TanzaniaBaada ya kudharauliwa kwa muda mrefu Watanzania sasahivi wamejipata. Kuna Jeshi la Mashambulizi limezaliwa Jana Tanzania linaitwa Tanzanians on Instagram (IG). Watu hawa wameanza kazi jana tu ila Pages zote za Serikali na machawa zilifunga comment sections. Mashambulizi yao nyuki wanasubiri😄
Kunaenda kupambazuka sasa Tanzania
Hivi kumbe tlaatlaah ndiyo yule kibiyongo!Aisee huyu anaandika ujinga sana na ukisoma comments zake siku yako lazima iharibike.Na hapa JF Instagram wametushinda kila post ya celebrity leo comments zote ni NO REFORMS NO ELECTION
Inatakiwa post zote za Lucas Mshamba, Chiembe na DC wa kisarawe tlaatlaa hakuna kuchangia mada tunareply NO REFORMS NO ELECTION
Nimeipenda afu nimeipenda tena.....Na hapa JF Instagram wametushinda kila post ya celebrity leo comments zote ni NO REFORMS NO ELECTION
Inatakiwa post zote za Lucas Mshamba, Chiembe na DC wa kisarawe tlaatlaa hakuna kuchangia mada tunareply NO REFORMS NO ELECTION
namna hiyo mnaharibu siasa ni upendo rafiki zangu wa chademaNimeipenda afu nimeipenda tena.....
Upendo wa kutekana, kuua, kulawiti??? Huo ndo upendo???namna hiyo mnaharibu siasa ni upendo rafiki zangu wa chadema
Mkuu,Hii ni saa saba Mchana. 😍
Watanganyika wana kiu ya mabadiliko.
Mwenyezi Mungu shusha Neema na baraka zako kwa Watanganyika wote.
Chadema 99.9
CCM 0.01
NoreformsNoelection
Dah,Hivi kumbe tlaatlaah ndiyo yule kibiyongo!Aisee huyu anaandika ujinga sana na ukisoma comments zake siku yako lazima iharibike.