Nyakati: No reforms no election

Nyakati: No reforms no election

Mchana was leo saa saba, June 06,2025 Makamu Mwenyekiti Mhe. John Heche, akizungumza na wananchi wa Kata ya Ruaha-Jimbo la Mikumi Mkoani Morogoro
#NoRefomsNoElectionView attachment 3358530
Hii ni saa saba Mchana. 😍
Watanganyika wana kiu ya mabadiliko.
Mwenyezi Mungu shusha Neema na baraka zako kwa Watanganyika wote.
Chadema 99.9
CCM 0.01
NoreformsNoelection
 
Hii ni saa saba Mchana. 😍
Watanganyika wana kiu ya mabadiliko.
Mwenyezi Mungu shusha Neema na baraka zako kwa Watanganyika wote.
Chadema 99.9
CCM 0.01
NoreformsNoelection
Kwa jirani kunateketea😁 hakuna kuita faya
 
Taarifa za chauma kutoka Serengeti 3:00 pm
kwanini Chauma Mbuzi na ng'ombe imekuwa
ni jadi kuwafuata kwenye mikutano yao TOKA waanze kuliko Watu ? 🤣🤣🤣 Mikosi ni KITU hatari sana..Bahati nzuri Watanzania siyo tena
WAJINGA .

Kweli Watanzania wameamka.
 
1749245914774.jpg
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, ameandika ujumbe mzito na wenye tafakari ya kina kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X (zamani Twitter), akielezea thamani ya maisha ya haki na maumivu ya kuishi katika mfumo wa dhuluma.

Katika andiko lake, Heche amesema:

“Pamoja na uchungu mkubwa unaotokana na maisha tunayo dhulumiwa, lakini anayeteswa au anayeuawa kwa ajili ya kujali haki, maiti yake ina thamani kubwa kuliko anayeishi kwa ajili ya kudhulumu haki na uhai. Kuna furaha sana katika kuishi maisha ya kujali na upendo, hata kama maisha hayo yanaambatana na mateso, wasiwasi na uchungu. Hili ndilo linapaswa kuwa kusudi la kila binadamu. Heri mateso pamoja na haki kuliko starehe pamoja na dhuluma na kutesa watu.”

Ujumbe huo umetafsiriwa na wengi kama wito wa ujasiri, utu na uzalendo—ukisisitiza kuwa maisha ya mtu hayapaswi kupimwa kwa starehe na mamlaka, bali kwa misingi ya haki, huruma na kujali wengine.

Watu wengi mitandaoni wameitikia ujumbe huo kwa hisia kali, wakieleza kuwa ni sauti ya matumaini na ujasiri katika kipindi ambacho baadhi ya watu wanaendelea kukumbwa na mateso au kukosa haki zao za msingi.

Wachambuzi wa siasa na haki za binadamu wanasema kuwa kauli ya Heche ni mwitikio wa hali halisi ya kijamii na kisiasa nchini, ambapo sauti za kutetea haki mara nyingi hukumbwa na changamoto, ukandamizaji na vitisho.

Mpaka sasa, ujumbe huo unaendelea kusambaa kwa kasi mitandaoni, ukiibua mjadala mkubwa kuhusu haki, maadili, na wajibu wa kila mmoja katika kujenga jamii yenye misingi ya utu na usawa.
FB_IMG_1749253418070.jpg
 
Taarifa za chauma kutoka Serengeti 3:00 pm
kwanini Chauma Mbuzi na ng'ombe imekuwa
ni jadi kuwafuata kwenye mikutano yao TOKA waanze kuliko Watu ? 🤣🤣🤣 Mikosi ni KITU hatari sana..Bahati nzuri Watanzania siyo tena
WAJINGA .

Kweli Watanzania wameamka.
Unachafua mandhari kuwaandika hao hapa mkuu, 'Mshana Jr'
 
Back
Top Bottom