Nusuru maisha ya mtoto huyu

Kaitaba

JF-Expert Member
Jun 30, 2009
916
52
Hapo Muhimbili National Hospital kwenye lango kuu la kuingilia, kuna mwanamama mmoja kichaa, muda wote yuko na mtoto,

Kinachoniuma ni huyu mtoto, sijui anakula wapi, anaoga wapo? nk

Naziomba taasisi zinazohusika na haki za watoto zifike pale na kunusuru maisha ya huyu mtoto.
 
Back
Top Bottom