...nusu aniue kwa presha...

...nusu aniue kwa presha...

Hahahahahaaaaaaa MATUMBO umeipata hiyo????? UMEME haukukatika KIJITONYAMA labda km LUKU yao ndo iliisha.
Tafakariiii....
"UKIMEGEWA DEMU WAKO....NA WEWE TAFUTA MNYONGE UMMEGEE" Si mimi ni mwana FA

haipunguzi maumivu inarudisha hadhi ya kiume kuibiwa ni jambo moja kukimbiwa ushafikiria
 
Avatar yako tu inaonyesha ni mtu wa mapresha, na siku ukikamata mwizi, sipati picha jinsi patakavyochimbika!
 
Mi niko k'nyama na umeme haujakatika hata siku moja! Wewe sikukuu yoote hii uko kwenu b'moyo, badala ukamchukue mpenzio umpeleke coco beach akale mihogo ya kukaanga na kachumbari ya pilipili! Unalo sasa!
we danganya watu kuwa ulikuwa kijitonyama halafu afe mtu kwa presha
 
hakuna cha umeme wala nini,
demu wake nilikuwa nae mimi viwanja mpaka mida mibovu.

omba Mungu nisikukamate..siku iyo nitakusaplaiz mautini kunafananaje.
 
wewe ni mshika pembe, maziwa wanakamua wengine
 
inaonyesha haukumpa mshiko wa kufanya manunuzi,
kampata mwenzio anayeweza kufanya manunuzi,
sasa walilia nini.

mshiko sio tatizo..msukuma mie,ukinichuna unikomeshi,unanifurahisha,kutoa ndio jadi yangu...nadhani hawa kina dada wa sku izi watakuwa wamerogwa!
 
omba Mungu nisikukamate..siku iyo nitakusaplaiz mautini kunafananaje.

huo mkwara tu mkuu.
Kwani ni simu ile mpaka useme nilikupora... Ila yule mtoto sijui ana kisukari? Maana ni mtamu ajabu...
 
Waungwana laaziz wangu siku ya jana nilitaka kumsaplaiz ila alikuwa hapatikani kwenye simu tangu saa 11 jioni mpaka leo saa 6 mchana,nilipompigia amesema simu iliisha chaji na umeme ulikuwa hakuna..Duuuh!kidogo nilipumua..so nilikuwa nauliza kwa wakazi wa dar es salaam eti jana kulikuwa hakuna umeme hapo mjini??nataka uhakika zaidi japo namuamini,mie nipo bwagamoyo kwa sasa.

pole wee ushalizwa
 
Kumbe msukuma? Ndo maana wanakuchuna
si umeuza ng'ombe
na unashangaa shangaa mno
mbona K'nyama hamna mabugando
Je angekuwa wa posta kule town?

Ulilwe!
mshiko sio tatizo..msukuma mie,ukinichuna unikomeshi,unanifurahisha,kutoa ndio jadi yangu...nadhani hawa kina dada wa sku izi watakuwa wamerogwa!
 
Sasa wewe uliopewa wazo la krismas nje ya mji, hukulifanyia kazi! Labda alitokea msamaria akakusaidioa kumpeleka nje ya nchi kabisa. Usijali, sikukuu ikiisha utampata na umeme utamrudia.
acha utani King'asti mie na wewe atujawai taniana ata siku moja,inamaana kweli umeme ulikuwepo??
Uwezi amini tumewasiliana jana hadi saa tisa na nusu mchana,na yeye ndio alionipaga wazo sikukuu tukailie nje ya mji..
 
Hahaha, kaka umenifanya nipaliwe kwa kicheko! Inabidi wifi aniletee juisi ya mix ya ukwaju na ubuyu, koh koh! Sasa jogoo pori ndo anakuwa hana banda au?
Jogoo koko huwezi kumjua mpaka aanze kuwika

:A S-coffee::juggle:
 
huo mkwara tu mkuu.
Kwani ni simu ile mpaka useme nilikupora... Ila yule mtoto sijui ana kisukari? Maana ni mtamu ajabu...

andare tukikutana mtaani ama zako ama zangu,na nakuhaidi ntakupata ngoja baadae nikakague simu ya mpenzi wangu,ntakupata tu..
 
Sasa wewe uliopewa wazo la krismas nje ya mji, hukulifanyia kazi! Labda alitokea msamaria akakusaidioa kumpeleka nje ya nchi kabisa. Usijali, sikukuu ikiisha utampata na umeme utamrudia.

uyo msamalia anaekarimu hadi wake za watu,lazima nimshikishe adabu..tena naanza kuhisi yumo umu umu JF,namsaka kwa udi na uvumba.
 
Back
Top Bottom