matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,224
- 3,960
- Thread starter
- #61
Kumbe msukuma? Ndo maana wanakuchuna
si umeuza ng'ombe
na unashangaa shangaa mno
mbona K'nyama hamna mabugando
Je angekuwa wa posta kule town?
Ulilwe!
yani wasukuma tunavyoenjoy kuchunwaga,we acha tu..siku izi sishangai mabugando nashangaa mafiga ya kichina.