matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,224
- 3,960
Waungwana laaziz wangu siku ya jana nilitaka kumsaplaiz ila alikuwa hapatikani kwenye simu tangu saa 11 jioni mpaka leo saa 6 mchana,nilipompigia amesema simu iliisha chaji na umeme ulikuwa hakuna..Duuuh!kidogo nilipumua..so nilikuwa nauliza kwa wakazi wa dar es salaam eti jana kulikuwa hakuna umeme hapo mjini??nataka uhakika zaidi japo namuamini,mie nipo bwagamoyo kwa sasa.