...nusu aniue kwa presha...

Duh! umeamua kugongea msumari kwenye kidonda! bora ungepotezea mshikaji atakosa usingizi kwa kufikiri alikuwa anamegewa!!

yani acha tu mkuu,King'asti anauma bila ata kupuliza kidogo..ngoja nikatafute stuli ndefu!
 
AAAHHHH UMELIWA, knyama ilikua na umeme full time!!!

mkuu hata kama hakuna umeme, kama kweli anakupenda angetumia hata simu ya babayake kukutafuta.... pole mkuu :eyebrows:

asante.ila na mimi lazima nilipize mwaka mpya.
 
mkuu kwa elimu ya ndoa niliopata ukifikia nusu ya presha means ashakuua
so jiangalie sana ukiwa anae unaweza poteza maisha wenzako wakaj kukusaidia tena huku wakilia siku wanakuaga
 
laiti simu ingekuwa inaongea mpwa nadhani leo hii ungekuwa kanisani kumshukuru muumba wako
 
Huna muamana kabisa

Kama luku yake iliisha si angeenda kuchaji simu kwa mangi dukani! Sikukuu imegeuka SIKU KUU! Kama presha ikipanda sana uni-pm baba nitangaze kifo chako mapemaa humu jf!
 
kweli lakini inawezekana luku iliisha,maana uyu binti navyomfahamu sidhani kama anaweza kufanya uhuni wa mtindo huo.
Ondoa mashaka maana tayari unamuamini na ilibidi hata usiulize juu ha jambo hilo maana utachanganywa bure Mkuu, la maana usijue itsaidia kuliko kujua!
 
laiti simu ingekuwa inaongea mpwa nadhani leo hii ungekuwa kanisani kumshukuru muumba wako

usiseme hivyo Pdidy,hapa naanza kurudia hali ya jana night..ngoja nikagonge VAT 69 huwa inanisaidia sana kipindi cha matatizo.
 
acha uchoyo. Kwani itaisha? Acha wajanja wamege wewe kula samaki huko bwagamoyo
 
Rudi kwenye kinguo nguo
haiumizagi akili
hii naona bado
kama kitu kidogo tu wanywa VAT
ukimkuta kabanwa na mtu live utakunywa TRA

nimeanza darasa la nne.kabla ya hapo kinguonguo.
 
Rudi kwenye kinguo nguo
haiumizagi akili
hii naona bado
kama kitu kidogo tu wanywa VAT
ukimkuta kabanwa na mtu live utakunywa TRA

izo za live nimekutana nazo sana tu.ila niliamua kutulia kwa uyu mtu,maana masista duu walinichosha na drama zao..sasa kama ata hawa wakilokole mizinguo,sijui nikimbilie wapi.
 
mmmh! Hapo ndo mnapokosea
si kila asemaye Bwana Bwana atauona ufalme

soma alama za nyakati
labda nenda kijijini kwenu

wazo zuri,ngoja niwasiliane na babu anitafutie kigori kwetu Lugulu-jineli.
 
Kama luku yake iliisha si angeenda kuchaji simu kwa mangi dukani! Sikukuu imegeuka SIKU KUU! Kama presha ikipanda sana uni-pm baba nitangaze kifo chako mapemaa humu jf!
Teh tutamtafutia kitu cha ukweli asipate tabu
 
inaonyesha haukumpa mshiko wa kufanya manunuzi,
kampata mwenzio anayeweza kufanya manunuzi,
sasa walilia nini.
 
Ok wait wadau wa k'nyama waje watujuze km ulikuwepo.
Jamani wana k'Nyama umeme ulikuwepo jana?

hakuna cha umeme wala nini,
demu wake nilikuwa nae mimi viwanja mpaka mida mibovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…