Ana impact gani?Wakuu,
Hatimaye ametamka japokuwa tulikuwa tunajua toka alipojitokeza na nguo za CCM.
====
View attachment 3338526
Mbunge wa viti Maalumu kundi la Vijana kutoka Mkoa wa Singida kupitia CHADEMA Nusrat Hanje amewatangazia wananchi wa mkoa huo na Watanzania kwaujumla kuwa anahama chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi.
Hanje ametoa kauli hiyo leo Mei 18, mwak huu wakati wa mkutano wa hadhara alioufanya viwanja vya stendi ya Zamani Ikungi mjini huku akisema kwa miaka mitano aliyodumu Bungeni ameiva na sasa anatafuta changamoto nyingine za kisiasa nje ya CHADEMA.
Pia soma Pre GE2025 - Mbunge wa Covid 19, Nusrat Hanje atangaza kugombea jimbo la zamani la Tundu Lissu, Singida Mashariki
Amesema uamuzi huo wa kuhamia CCM ameufanya bila shinikizo lolote bali ameamua yeye mwenyewe baada ya kuona na kuridhishwa na mambo makubwa ya kimaendeleo anayo yafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa wananchi wa Singida.
Katika Mkutano huo pia Hanje amewataka wanaikungi kujitokeza kwa wingi kumuunga mkono kuhamia CCM kwa kuwa tayari changamoto zao na kero zao zinaweza kutatuliwa bila kusababisha vurugu wala machafuko.
Kila mTanzania ana uhuru na haki ya kikatiba kuamua kujiunga na chama chochote cha siasa.Wakuu,

Anatoka CCM ReserveAnahamia kutoka chama gani ?
Ccm ina wenyeweWakuu,

Wenzio wanapewa shavu we unabaki na uchawa tu, tafakari, chukua hatua.Kila mTanzania ana uhuru na haki ya kikatiba kuamua kujiunga na chama chochote cha siasa.
Hakuna haja ya mtu mwingine kupata mihemko au makasiriko endapo mtu mwingine anapotumia uhuru na haki yake hiyo ya kikatiba 🐒
mwenzangu ni mimi na mimi pekeyangu gentleman,Wenzio wanapewa shavu we unabaki na uchawa tu, tafakari, chukua hatua.
Mke wa Kitenge mtu wa ijumaa lazima wameongeaHuenda Maza ameshamhakikishia nafasi huko!
Wana ahidiwa vyeo wakiwa madarakani, nani angeamini Halima Mdee kuwa atahamia CCM?CHADEMA wakati mwingine muwe makini kuwabaini kirahisi hawa mamluki. Imagine huyu binti mlimruhusu mpaka akajipenyeza kuwa na cheo kikubwa tu kwenye jumuiya yenu ya vijana (Bavicha), huku akiwa ni mamluki wa ccm!
Na kwa Patrobas Kitambi nako mlizembea hivi hivi! Mlimpa Uenyekiti wa Bavicha, huku akiwa ni mamluki wa ccm!!
Kutoka UVCCM kwenda UWTAnahamia kutoka chama gani ?
Huyu dada Huwa anakusanya nyomi sana ,CCM mpeni nafasi ya kugombea atashinda 🔥🔥Wakuu,
Hatimaye ametamka japokuwa tulikuwa tunajua toka alipojitokeza na nguo za CCM.
====
View attachment 3338526
Mbunge wa viti Maalumu kundi la Vijana kutoka Mkoa wa Singida kupitia CHADEMA Nusrat Hanje amewatangazia wananchi wa mkoa huo na Watanzania kwaujumla kuwa anahama chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi.
Hanje ametoa kauli hiyo leo Mei 18, mwak huu wakati wa mkutano wa hadhara alioufanya viwanja vya stendi ya Zamani Ikungi mjini huku akisema kwa miaka mitano aliyodumu Bungeni ameiva na sasa anatafuta changamoto nyingine za kisiasa nje ya CHADEMA.
Pia soma Pre GE2025 - Mbunge wa Covid 19, Nusrat Hanje atangaza kugombea jimbo la zamani la Tundu Lissu, Singida Mashariki
Amesema uamuzi huo wa kuhamia CCM ameufanya bila shinikizo lolote bali ameamua yeye mwenyewe baada ya kuona na kuridhishwa na mambo makubwa ya kimaendeleo anayo yafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa wananchi wa Singida.
Katika Mkutano huo pia Hanje amewataka wanaikungi kujitokeza kwa wingi kumuunga mkono kuhamia CCM kwa kuwa tayari changamoto zao na kero zao zinaweza kutatuliwa bila kusababisha vurugu wala machafuko.
Muachieni Lissu na MdudeDemokrasia inatoa uhuru wa mtu kufanya anavyotaka, bora tu havunji sheria. Ametumia uhuru wake wa kikatiba