PreGE2025 Nusrat Hanje atangaza kuhamia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wakuu,

Hatimaye ametamka japokuwa tulikuwa tunajua toka alipojitokeza na nguo za CCM.

====

View attachment 3338526

Mbunge wa viti Maalumu kundi la Vijana kutoka Mkoa wa Singida kupitia CHADEMA Nusrat Hanje amewatangazia wananchi wa mkoa huo na Watanzania kwaujumla kuwa anahama chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi.

Hanje ametoa kauli hiyo leo Mei 18, mwak huu wakati wa mkutano wa hadhara alioufanya viwanja vya stendi ya Zamani Ikungi mjini huku akisema kwa miaka mitano aliyodumu Bungeni ameiva na sasa anatafuta changamoto nyingine za kisiasa nje ya CHADEMA.

Pia soma Pre GE2025 - Mbunge wa Covid 19, Nusrat Hanje atangaza kugombea jimbo la zamani la Tundu Lissu, Singida Mashariki

Amesema uamuzi huo wa kuhamia CCM ameufanya bila shinikizo lolote bali ameamua yeye mwenyewe baada ya kuona na kuridhishwa na mambo makubwa ya kimaendeleo anayo yafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa wananchi wa Singida.

Katika Mkutano huo pia Hanje amewataka wanaikungi kujitokeza kwa wingi kumuunga mkono kuhamia CCM kwa kuwa tayari changamoto zao na kero zao zinaweza kutatuliwa bila kusababisha vurugu wala machafuko.
Huyo ni mateka aliyetolewa jela na JPM na kumlazimisha kuapishwa kwenye gereji ya bunge 2020,ili kuhalalisha uharamu wa uchaguzi wa 2020. Hakuna namna angerudi CDM, walishakafukuza pamoja na wasaliti wenzake. Hivyo ni lazima ahamie huko kwa wezi wenzake.
 
Demokrasia inatoa uhuru wa mtu kufanya anavyotaka, bora tu havunji sheria. Ametumia uhuru wake wa kikatiba
Sheria alizivunja kitambo pale alipotoroka lupango usiku wa manane,na kwenda kuapishwa gereji na Ndungai kuwa mbunge.
 
Sasa na ubunge wa Mahakamani si atakuwa ameukana mwenyewe hapo?au bado sheria zinavunjwa?
 
Atakuwa Mkuu wa Wilaya. Tatizo hawapati ushauri; angetangaza kujiunga CCM; baada ya bunge kuvunjwa; saivi anapaswa asikanyage bungeni maana yupo Kwa tiketi ya CDM
Kwa miezi michache iliyobaki hakuna tatizo
 
Wakuu,

Hatimaye ametamka japokuwa tulikuwa tunajua toka alipojitokeza na nguo za CCM.

====

View attachment 3338526

Mbunge wa viti Maalumu kundi la Vijana kutoka Mkoa wa Singida kupitia CHADEMA Nusrat Hanje amewatangazia wananchi wa mkoa huo na Watanzania kwaujumla kuwa anahama chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi.

Hanje ametoa kauli hiyo leo Mei 18, mwak huu wakati wa mkutano wa hadhara alioufanya viwanja vya stendi ya Zamani Ikungi mjini huku akisema kwa miaka mitano aliyodumu Bungeni ameiva na sasa anatafuta changamoto nyingine za kisiasa nje ya CHADEMA.

Pia soma Pre GE2025 - Mbunge wa Covid 19, Nusrat Hanje atangaza kugombea jimbo la zamani la Tundu Lissu, Singida Mashariki

Amesema uamuzi huo wa kuhamia CCM ameufanya bila shinikizo lolote bali ameamua yeye mwenyewe baada ya kuona na kuridhishwa na mambo makubwa ya kimaendeleo anayo yafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa wananchi wa Singida.

Katika Mkutano huo pia Hanje amewataka wanaikungi kujitokeza kwa wingi kumuunga mkono kuhamia CCM kwa kuwa tayari changamoto zao na kero zao zinaweza kutatuliwa bila kusababisha vurugu wala machafuko.
Ila mimi huwa najiuliza Chadema walikuwa wanawapa hawa malaya vyeo kwa kuwavua chupi au kutegemea akili zao?
 
Haka ka binti kana tamaa, watakatua humo CCM hataree...kuna mi fisi ya balaa humo
 
Wakuu,

Hatimaye ametamka japokuwa tulikuwa tunajua toka alipojitokeza na nguo za CCM.

====

View attachment 3338526

Mbunge wa viti Maalumu kundi la Vijana kutoka Mkoa wa Singida kupitia CHADEMA Nusrat Hanje amewatangazia wananchi wa mkoa huo na Watanzania kwaujumla kuwa anahama chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi.

Hanje ametoa kauli hiyo leo Mei 18, mwak huu wakati wa mkutano wa hadhara alioufanya viwanja vya stendi ya Zamani Ikungi mjini huku akisema kwa miaka mitano aliyodumu Bungeni ameiva na sasa anatafuta changamoto nyingine za kisiasa nje ya CHADEMA.

Pia soma Pre GE2025 - Mbunge wa Covid 19, Nusrat Hanje atangaza kugombea jimbo la zamani la Tundu Lissu, Singida Mashariki

Amesema uamuzi huo wa kuhamia CCM ameufanya bila shinikizo lolote bali ameamua yeye mwenyewe baada ya kuona na kuridhishwa na mambo makubwa ya kimaendeleo anayo yafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa wananchi wa Singida.

Katika Mkutano huo pia Hanje amewataka wanaikungi kujitokeza kwa wingi kumuunga mkono kuhamia CCM kwa kuwa tayari changamoto zao na kero zao zinaweza kutatuliwa bila kusababisha vurugu wala machafuko.
Kama ww ni mbwa mwitu utabaki kua mbwa mwitu tu hata uvae vazi la kondoo!!
 
Gombea kupitia CCM,ili ukutane na moto wa CCM
 
Kama kweli katiba inafuatwa japo tunajua haofiatwi, spika alipaswa kumfukuza bungeni kwa sababu anasema huko bungeni alipelekwa na cdm, na bunge halijavunjwa.
 
Back
Top Bottom