Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,518
- 9,806
Utabadilisha ID, na kuleta matangazo ya kuhitaji mume,Poa utaniona kama nitakuwa online we chezea husband seeker .
Nipo juu kama mnazi napepea kama mabawa ya ndege utabakia unaduwaa tukila vitamu
acha tu nikaliNimecheka kwa nguvu, kama nakuona dah wanaume wanatesa, sijuhi umempata vipi huyo.?
Humu wala hamuonekani ni ngumu kweliUtabadilisha ID, na kuleta matangazo ya kuhitaji mume,
Ndio ilikuwa kama zali tu mtu nimepita zangu mahali nawao walikuwa kama group akataka apige picha kidogo akadondosha kitu hakikuwa cha dhamani ila nilihakikisha kapata ndio akafurahi akaniomba mawasiliano ndio hivyo nafurahia nyota imewaka nimefurahi sana.
Ndio tatizo la dada zetu,wanaamini wazungu wote wako safi wakati pia wapo waliochoka.Tunatatizo sana sie binadamu, yaani simply mzungu ndo unaona umeshinda bingo? Kazi ipo
Huyo mtasha anamiaka 45 so dada yake ni mtu mzima so nikipata anayehitaji nitakuambiaHusband seeker mimi nina ndoto za kuoa mtasha hivyo naomba kama huyo mumeo ana dada yake nipigie pande nimuoe wifi yako.
Kama ni rasta nitafuga nipo tayari.
Huyu ni anazo zakunitosha mimi so naolewa bossyNdio tatizo la dada zetu,wanaamini wazungu wote wako safi wakati pia wapo waliochoka.
Husband seeker mimi nina ndoto za kuoa mtasha hivyo naomba kama huyo mumeo ana dada yake nipigie pande nimuoe wifi yako.
Kama ni rasta nitafuga nipo tayari.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hongera
Utulie sasa uache kurukaruka na kupasha viporo moto
Hata mdogo wake ni dada yake mkuu. Ila anyways usisahau mkuu. Natamani na mimi niwe diaspora kama wana JF wengi wanavyoishi huko mambele.Huyo mtasha anamiaka 45 so dada yake ni mtu mzima so nikipata anayehitaji nitakuambia
Usicheke Kop [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha...
Ha ha ha ha mwambie aje awekeze huku asikuchukue bila kuacha kumbukumbu yeyote huku mkuuHuyu ni anazo zakunitosha mimi so naolewa bossy
πͺπͺπͺHa ha ha ha mwambie aje awekeze huku asikuchukue bila kuacha kumbukumbu yeyote huku mkuu
Ha ha ha whyπͺπͺπͺ
Jamani sibure huna akili kweli sishangaiKumbe kuolewa ni jambo la kushangaza usawa huu