Nuru imeniwakia

Umeanza lini hiyo tabia ya kunifuatiliafuatilia? Kwani unanidai, iwe kujenga au kubomoa hayakuhusu, wewe si uliniblock sasa yanini kunichunguza[emoji57]
Aisee, naona unatamba baada ya kupata "NURU",
Ila usisahau kunishtua hiyo nuru ikiwa giza.
 
Congratulations dear, may the blessings of God be upon your side. May all the plans be as u wish, OMG can't wait to see ur marriage,[emoji8][emoji7],, hopefully it will be fantastic.,Mungu hajakuacha,God has His perfect time
 
Hongera kwa kupata hitaji lako,cha muhimu ni nafsi kuridhika na isiwe ni kwa sababu nimekataliwa na A au B ndio maana nimekubali kuwa na huyu. Mume/mke ni maisha,haijalishi anaishi wapi na harusi ilikuwa ya namna gani; kuhusu walioku-block nadhani labda hawakuwa tayari kwa ndoa,lakini pia bila wao kuku-block usingempata huyu uliyenaye sasa.
 
Lazima ujue kuwa wazungu wanatumia Airtel, Voda na tigo. Jiandae kisaikolojia!
 
Congratulations dear, may the blessings of God be upon your side. May all the plans be as u wish, OMG can't wait to see ur marriage,[emoji8][emoji7],, hopefully it will be fantastic.,Mungu hajakuacha,God has His perfect time
Asante mwaya nitajitahidi niwaletee picha nzuri
 
Nimecheka kwa nguvu, kama nakuona dah wanaume wanatesa, sijuhi umempata vipi huyo.?
 
Ndoto za kulewa balimi mchana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…