Nurse wa kuuza duka la dawa anahitajika

Nurse wa kuuza duka la dawa anahitajika

Nimemaliza Course ya PHARMACY DISPENSING SCIENCE mwaka mmoja

Nina vyeti vyote hitajika...

1:Nina cheti kilichotolewa na baraza LA pharmacy Tanzania.

2:Nina Cheti cha matokeo yangu ya Chuo

3:Nina cheti Cha Chuo husika nilichosoma.

4😛ia nina Nyaraka zangu zote muhimu;
____Cheti cha kuzaliwa.
____Cheti cha kuhitimu. kidato cha nne.
____Cheti cha kuhitimu elimu yangu ya msingi.

Naweza kufanya kazi kwenye pharmacy yeyote au ata dispensary yenye sehemu ya dawa .

Jinsia yangu ni ME

Umri wang ni miaka 22.

Location yangu mi Niko DODOMA.


Nb; Naweza kufanya kazi mkoa wowote na sehemu yeyote sichagui mazingira kijijini ama mjini kama Nahitajika.!........!


Mi sio nerse kama ulivyopendelea lakini nimeainisha tu waweza kuona nafaa kwa emergency labda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom