PostGE2025 Nurdin Bilal (Shetta) achaguliwa kuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Diwani wa kata ya Mchikichini Nurdin Bilal Juma, maarufu kama Shetta, ametangazwa rasmi kuwa Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam leo Desemba 04, 2025, baada ya kupata ushindi katika kikao cha kwanza cha Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Jiji.
SnapInsta.to_520448447_18511502554050222_3602486634520421269_n.jpg
Shetta alipata jumla ya kura 48 za ndiyo kati ya 51 zilizopigwa, huku kura moja ikiharibika, hivyo kumpa ushindi wa kishindo katika nafasi hiyo muhimu ya uongozi.

Katika uchaguzi huo huo, John Mrema alichaguliwa kuwa Naibu Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam baada ya kupata asilimia 96 ya kura, sawa na kura 49 kati ya 51, huku kura moja ikiharibika.

Kikao hicho kimeashiria rasmi kuanza kwa majukumu ya viongozi hao wapya katika kuongoza na kusimamia maendeleo ya Jiji la Dar es Salaam.

Pia Soma: Nurdin Juma (Shetta) apitishwa na CCM kugombea Umeya DAR
 
Diwani wa Kata ya Mchikichini, Nurdin Bilal (Shetta) amechaguliwa kuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam baada ya kupata kura 48 kati ya kura 51.
 
Diwani wa kata ya Mchikichini Nurdin Bilal Juma, maarufu kama Shetta, ametangazwa rasmi kuwa Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam leo Desemba 04, 2025, baada ya kupata ushindi katika kikao cha kwanza cha Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Jiji.
Shetta alipata jumla ya kura 48 za ndiyo kati ya 51 zilizopigwa, huku kura moja ikiharibika, hivyo kumpa ushindi wa kishindo katika nafasi hiyo muhimu ya uongozi.

Katika uchaguzi huo huo, John Mrema alichaguliwa kuwa Naibu Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam baada ya kupata asilimia 96 ya kura, sawa na kura 49 kati ya 51, huku kura moja ikiharibika.

Kikao hicho kimeashiria rasmi kuanza kwa majukumu ya viongozi hao wapya katika kuongoza na kusimamia maendeleo ya Jiji la Dar es Salaam.

Pia Soma: Nurdin Juma (Shetta) apitishwa na CCM kugombea Umeya DAR
John Mrema?
 
Uchawa unalipa kuliko elimu
 
on saturday i got a little accident , lost my stuffs. so am kindly offline _20251203_174536_0000.png
 
Back
Top Bottom