Nunua nunua kuhamia Zanzibar?

wagagagigi

JF-Expert Member
Dec 9, 2014
890
983
Salam wana JF.
Kwa mujibu wa Maalim Seif, nunua nunua tayari imehamia Zanzibar ila kuna dalili kwamba kazi ya kushawishi wabunge wa upinzani kwa upande wa Zanzibar kuunga mkono juhudi ni ngumu zaidi ukilinganisha na Tanzania bara.

Kwa nini wapinzani Tanzania bara wanunulike kirahisi ukilinganisha na wenzao wa Zanzibar?
Tujadili tafadhali.

Wazanzibari hawahitaji hela ya bia hivyo hawana sababu ya kununulika.
 
Pemba itakuwa ngumu sana, baada ya ibada Wapemba mapenzi yao yako CUF
Na watabaguliwa mpka vyupi vya ndani viwawawake moto kule.

Uchaguzi WA 2010 baada ya yamatokeo ya Urais na kuchaguliwa Shein bila ya kushinda kiuhalali wananchi WA Pemba waligoma hata kupeleka/kusafirisha kitu chá aina yoyote kupeleka unguja na ukionekana tu basi kila kitu ujimalizie mwneywewe kitakachokutokea ikiwemo familia yako.

Watu waliufyata kujisifasifirishia bidhaa kwenda unguja.

Ponya Ponya nikauli ya Seif na viongozi wenzake wananchi wakaisikiliza ndio wakapeleka bidhaa zao unguja lkn hali ilikuwa teté.

Huyo atakayejitia hashuo lá kununuliwa huko akakubali basi atajuta badaye.
 
Ninauelewa msimamo wa Wapemba. Kwanza wao hawategemei ajira kuwa utawabana kwenye mshahara. Wao maisha yao ni kilimo na biashara kwa karibu 75% ya Wapemba
 
Kama kweli hawa Upinzani wananuniliwa na CCM itakuaja akija CHINA na US pindi watakapopewa madaraka. Najua Zanzibar shida ni dini je akija Oman si ndio watatuuza Watumwa!
 
Ninauelewa msimamo wa Wapemba. Kwanza wao hawategemei ajira kuwa utawabana kwenye mshahara. Wao maisha yao ni kilimo na biashara kwa karibu 75% ya Wapemba
Yaa ni kweli kule hata usome umalize chuo kama hukupata kuajiriwa hawatgemei kabisa ajira za serikal kwanza serikal wenyewe inaubaguzi mpk uwe na kadi ya ccm ndio upate ajira na kama Huna imekula kwako.

Pemba wanadhiki ya hela lkn sio ya kimaisha mfano vyakula vya mashambani.

Mpemba hategemei kuhongwa, Mpemba anastahamili sana misukosuko ya kimaisha lakini Mpemba kwa karafuu tu zinazozalishwa kule Pemba basi kama sihii figisufigisu ya serikal ya ccm na umafia wao karafuu ni zao tosha lá kumnufaisha kimaisha.
 
Zimepigwa dua huko Zanzibar wakati wa kampeni mwaka 2015 dhidi ya watakaofanya dhulma kwenye uchaguzi, Unadhani Hao watu wa CUF hawaogopi ziwarudi?
Wacha akina Jecha na kundi lake wafurahi kwa muda mfupi lakini athari za maombi ya watu huja kwa muda wake!
 
KWa wanzanzibar nawasifu kwani wanaogopa unafki sana hasa kwamba wameshika dini na wanamuogopa MUNGU wao. Huku bara wengi tuna Dini ila hatuna hofu ya MUNGU kama wao. Watapatikana wakununuliwa wachache ila siyo kama huku bara yetu.

Uijuw zanzibar ujuw lolotr kuhusu znz

Kwa taarifa yako hakuna sehemu watu wanafiki kama hapa zanzibar, n kwamba kama unavoona waraab walivo wanafiki na wanasalitiana bac ndvo ilvo znz.

Zanzibar choyo, fitina hapa ndpo kwenyewe, em. Njoo uishi weye usome siyo umekaa kwemu simiyu uko wasema usiyoyajuwa mwehu weye
 
Back
Top Bottom