Nunua gari kali, jenga ghorofa

Noma sana! Ila itoe kwamba US ukiwa na gari kali sio kipimo cha mafanikio ni uongo. Watu wanahangaika kudirve tesla na akipata tesla anatamba kweli kweli...
Hao wanaohangaika ku drive Tesla wanatafuta attention mitandaoni kuwatambia waafrika wenzao waliopo Afrika.

Sio kutambia USA.

USA hakuna mwenye shobo na life la mtu.

Immigrants wengi kutoka Afrika, wakifika USA, ndio wanakazana kununua magari makali kwa sababu, hawakupata nafasi hiyo wakiwa Afrika.
 
Kwanza USA πŸ‡ΊπŸ‡Έ hakuna mtu mwenye time na maisha ya mtu.

Hakuna wa kukupa heshima, eti kisa gari unalo endesha.

Usidanganye. It seems you haven't been there.

Gari ni kipimo cha mafanikio kwa maskini wengi Afrika. Sio USA.
Hakuna mtu mwenye time na maisha ya mtu - Correct. Hii haiondoi fact kwamba when you interact watu wataacha kuangalia what you own, mathalani ukitaka mpenzi, a business partner etc. Akishakuona hauna kitu anajua tu utakuwa parasite. Deny the fact!
 
Sio migrants wala weusi, even the whites wako hivyo, nimeishi sehemu yenye watu weupe zaidi kuliko blacks American na black migrants. And they are all the same, wanatamba vizuri tu, they real brag about having expensive life.
 
Hakuna mtu mwenye time na maisha ya mtu - Correct. Hii haiondoi fact kwamba when you interact watu wataacha kuangalia what you own, mathalani ukitaka mpenzi, a business partner etc. Akishakuona hauna kitu anajua tu utakuwa parasite. Deny the fact!
Mambo ya mpenzi na business partner hayo ni masuala mengine. Katika angle nyingine.

Lakini kumiliki gari kali tu, sio kipimo pekee cha mafanikio.
 
Mambo ya mpenzi na business partner hayo ni masuala mengine. Katika angle nyingine.

Lakini kumiliki gari kali tu, sio kipimo pekee cha mafanikio.
Hadi hapo umekubali kuwa hakuna mtu unaenda kupeleka wazo lako kali la biashara halafu unaendesha gari la $2000 hadi $5000. Kama umeingia kwenye business umewahi kutafuta wawekezaji kwenye business idea yako utajua hii. Which means kama una gari kali linaonesha uko vyema (Kuanzia kwenye credit scores zako) so mtu anajua anaweza kutia hela kwenye wazo lako. Otherwise unaonekana ni mganga njaa.
 
Huo ni umasikini mkuu

Kuwa makini na huyo mwanao atakuzalishia BP na Kisukari kabla ya muda wako

Kuwa makini sana na maisha yako
 
mwambie dogo akaze na shule aachane na yawalimwengu

anajifanya mjanja wakati wewe unalipa karo yashule yeye analeta makaratasi eti matokeo yamitihan
Ukiacha hizi za matokeo kanambia hataki kuishi Tz, nifanye mpango aende Ughaibuni huko, na nchi anayotaka kwenda kashaijua anaikomalia. So natumia hiyo nchi kama motivation kwake aniletee makaratasi yenye marks nzuri
 
Nunua gari kali hata 3 jenga gorofa kali acha kisingizio
Kwanza USA πŸ‡ΊπŸ‡Έ hakuna mtu mwenye time na maisha ya mtu.

Hakuna wa kukupa heshima, eti kisa gari unalo endesha.

Usidanganye. It seems you haven't been there.

Gari ni kipimo cha mafanikio kwa maskini wengi Afrika. Sio USA.
 
Huo ni umasikini mkuu

Kuwa makini na huyo mwanao atakuzalishia BP na Kisukari kabla ya muda wako

Kuwa makini sana na maisha yako
Nilimwambia masuala ya gari kwasasa sio muhimu as long as tunalo, lililopo linatosha tuwaze mambo mengine. Amekubali ila kiunyonge sana
 
Oya yeyote aliyefanya sherehe jana pale Mlimani City hall ni tajiri haswa maana nje pale waliweka Fountains za kutosha kwa sample.
Nimepita asubuhi hii. Bado zipo. Yule nadhani ni ana hela kinoma. Kinomaaaaaaaaaa. Pale nje kaweka fountain na boooonge la Piano. Yule tajiri aisee.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…