Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

emoji778.png
NJIA ZA MAWASILIANO

Wasiliana nami kwa moja ya hizi njia
1. Kupiga simu/ Kutuma ujumbe: 0717 54 57 62 au 0788 203 160
2. Whatsapp: +255 788 203 160
3. Telegram: @MwlRCT
Nitakufanikishia MANUNUZI + KUSAFIRISHA + DELIVERY (mkoa uliopo)
 
Mkuu habari, nahitaj mashine ya kukandia unga wa ngano ya kg 12 au kg 8 waweza niagizia china kwa garama Gani hadi kunifikia geita?
 
Mkuu kwema!

Waelekeze wateja wako waje kuagia kwetu pia,nje ya kuagiza tunatoa vitu vingi bure nfano kuna laptops 3 zakutengeneza mtu yoyote anapata

Njia za malipo watu wanatumia bank za ndani na mitandao ya simu.
 
Mzee fuata ushauri uliopewa na wadau kwenye ule Uzi uliofungua na sio kudandia nyuzi za watu ndugu.

Weka friendly UI
Fungua ofisi hapa nchini
Kuwa na partnership na watu
Fanya promo ya bidhaa/website yako
Hiyo site isichagulie watu majina ya kutumia

Na maelekezo mengi tu waliyokupa wadau utasonga mbele kuliko hivi unavyofanya ni kama kutapa tapa aisee. Unamwambia mfanyabiashara mwenzako ETI WAELEKEZE WATEJA WAKO WAJE KUAGIZA KWETU PIA. Like serious...? Mwl. RCT anawaagizia watu bidhaa kutoka na unaona mpaka amefikia hapo sio zoezi la siku moja tu, sasa leo hii unamwambia awaache wateja wake na awaelekeze waje kuagiza kwako pia, uko serious mkuu...?

Kila la heri...!
 
Mkuu naomba unitag huo uzi ndio nausikia leo.

Mimi na office Japan Tanzanzia SouthAfrica Johannesburg na Capetown Dubai, promo nafanya ndio maana niko na wewe hapo,sababu ya kukuambia hivyo naona unafanya promo za makampuni mengine ndio maana na mmi nikaomba uniweke kwenye list ya haya makampuni sio kwaubaya.
 
Kama promo unafanya usingemuomba Mwl. RCT awaelekeze wateja wake kwako. Mpaka unaomba it means huna advertisement unayoifanya ya hiyo site yako.

Na juzi uliingia kwenye Uzi wa Teacher ukaanza eti Ooooh wewe Mwl. RCT sikuelewi na blah blah kibao, mambo hayaendi hivyo mzee.
 
Back
Top Bottom