Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Mkuu habari.. nahitaji kitabu chenye namba za rangi za magari ya toyota.. mfano wake nimeweka kwa picha hapa
JPEG_20240314_132733_5426125704380099609.jpg

View attachment 2934298
 
Naweza pata hii kwa 87k pisi moja?
1. Imeandikwa Bei ya manunuzzi , Sawa, Je umeangalia shipping cost ni ngapi? | Chakufanya add kwenye cart kisha angalia total inakuja ngapi.

2. Apps zinatumia rate za google | Ni makadilio kwa TZS, ila ghalama halisi itatokna na rate ya USD utakayopewa, huwa iko juu kiasi | Baadhi ya update hapa: Leo dola moja ni sawa na 2290. Kweli uchumi unakuwa , Ila kwa sasa rate inafika hadi USD 1 = 2,800

3. Ongeza handling charges za huduma | Angalia post number 1 kwenye hii thread. Kisha fanya hesabu na karibu kwa huduma ya manunuzi.

Hitimisho: Hauwezi kupata kwa 87,000.
 
Back
Top Bottom