Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Huawei p20 pro
Bei ni US $‭715‬
1113627
 
Sio bei utakayouziwa
Uhalisia wa bei angali hizi site
- amazon.com
- ebay.com
- aliexpress.com

Je nikweli Huawei Pro inaweza kuuzwa kwa bei chini ya LAKI MOJA NA NUSU kweli???,
Hata mimi nashindwa kumwelewa maana anauza simu bei rahisi sana mfano Oneplus 6T $100, huawei mate 20 $100
 
Kwanza utanipa anwani yake kwa huu mpangilio pichani

View attachment 1114835

Kiasi utakacholipia ni TZS. 473,360

Atapokea mzigo kabla ya Jumamosi.

Nashkuru sana nitafanya hivyo kiongozi. Pia kikokotoo changu naona kimenidanganya kwa kiasi kikubwa aisee.

Naona Dirham 631 ni kama laki 4 na kidogo hivi, naweza kupata mchanganuo wa hiyo 473,360/- kiongozi wangu...?

Natanguliza shukran nyingi kwako.
 
Pia kikokotoo changu naona kimenidanganya kwa kiasi kikubwa aisee.

Naona Dirham 631 ni kama laki 4 na kidogo hivi,
Taarifa mbili hazipo kwenye kikokotoo chako.
- Gharama ya kusafirisha kwenda kwa atakayepokea
- Handling charges za mwl.
Hizi taarifa mbili ndio zimetupatia jumla hiyo.

Karibu
 
Mwl. RCT habari yako, naomba nichekie hii, au kwa seller mwingine sehemu nyingine alafu niambie bei.

Kwa TRA watahusika naomba ainisha pia.

1115095


Regards,
Desiigner.
 
Nipe gharama ya hivi vitu piece 100 hadi kunifikia nipo dar.https://www.ebay.com/itm/Golden-Triangle-D-Ring-Hanging-Picture-Frame-Hooks-Painting-Mirror-Hangers-25pc/302778933774?_trkparms=aid%3D555018%26algo%3DPL.SIM%26ao%3D1%26asc%3D20180306143914%26meid%3D8574683bccf34d3e8da7aba95f6e3f91%26pid%3D100935%26rk%3D1%26rkt%3D12%26sd%3D273850300560%26itm%3D302778933774&_trksid=p2349624.c100935.m2460
 
Back
Top Bottom