Jaribu kucheck huyu seller SHENZHEN SHIHENGJI TRADINGBei ni US $715
View attachment 1113627
Hata mimi nashindwa kumwelewa maana anauza simu bei rahisi sana mfano Oneplus 6T $100, huawei mate 20 $100Sio bei utakayouziwa
Uhalisia wa bei angali hizi site
- amazon.com
- ebay.com
- aliexpress.com
Je nikweli Huawei Pro inaweza kuuzwa kwa bei chini ya LAKI MOJA NA NUSU kweli???,
Kwa mara ya tatu kufanya nae biashara mzigo nimeupokea Shukurani mkuu kwa uaminifu wakoView attachment 1087681
TZS. 63,440
View attachment 1113637
Kwanza utanipa anwani yake kwa huu mpangilio pichani
View attachment 1114835
Kiasi utakacholipia ni TZS. 473,360
Atapokea mzigo kabla ya Jumamosi.
Taarifa mbili hazipo kwenye kikokotoo chako.Pia kikokotoo changu naona kimenidanganya kwa kiasi kikubwa aisee.
Naona Dirham 631 ni kama laki 4 na kidogo hivi,
TZS. 680,760| Samsung Galaxy A40S 6.4 inch HD+ 4G LTE Android Mobile phone 6GB RAM 64GB ROM 5000mAh 123° Ultra Wide Camera Smartphone
US $289.99 |Samsung Galaxy A40S 6.4 inch HD+ 4G LTE Android Mobile phone 6GB RAM 64GB ROM 5000mAh 123° Ultra Wide Camera Smartphone-in Cellphones from Cellphones & Telecommunications on AliExpress
Smarter Shopping, Better Living! Aliexpress.coms.click.aliexpress.com
Samsung Galaxy A30.. RAM 4GB..internal 64 GB...camera 16+5 MP etc etc... Price yake ikoje na naweza ipata baada ya muda gani mkuuTZS. 680,760
MUDA: Wiki 3