Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Naomba namba yako mkuu
emoji778.png
NJIA ZA MAWASILIANO


Wasiliana nami kwa moja ya hizi njia
1. Kupiga simu/ Kutuma ujumbe: 0717 54 57 62 au 0768 92 48 41
2. Barua Pepe (Email): mw1rct @ outlook.com
3. Whatsapp: ( ONLY ) +255 784 496 856
4. Skype: mw1rct
5. Telegram: @mw1rct
 
Waungwana kwa mfano mtu unaagiza simu moja tu kutoka china au india unaweza kuipata kwa sh ngapi nkikaanisha gharama za safari?
 
Waungwana kwa mfano mtu unaagiza simu moja tu kutoka china au india unaweza kuipata kwa sh ngapi
Utapata kwa TZS ngapi inategemea vitu vifuatavyo
- Njia ya usafirishaji itakayotumika - viz Express( Ni ghalama kubwa) au standard (Ni ghalama Nafuu)
- Uwezo wa simu husika (a) RAM size (b) ROM Je ni 16GB, 32GB, 64GB au 128GB kila moja itakuwa na bei yake
- Model/Aina ya simu husika mfano Iphone toleo la 2015 bei ni rahisi ukilinganisha na iphone toleo la 2017

Hivyo ili upate mchanganuo stahiki nipatie lik ya aina ya simu unayohitaji.

Karibu
 
Hii laptop: https://amzn.to/2NUyqW3
Itakufikia TZ kwa ghlama ya TZS: 1,501,640

Muda: Ndani ya siku 9 hadi 14

Njia ya malipo: Mobile Banking

Angalizo
- Baada ya mzigo kufika nchini kutakuwa na Tozo la VAT ntoka mamlaka ya mapato husika hapa nchini
- Uwe tayari kulipia kodi/ VAT
- Kiasi utakacholipia utajulishwa baada ya mzigo kufika na kukaguliwa na wahusika.

KARIBU
 
UTARATIBU WA KUNUNUA BIDHAA - BUY4ME

Utafuata hizi hatua

1. Tafuta bidhaa unayoihitaji toka tovuti tofauti tofauti.

2. Chagua bidhaa husika unayohitaji katika tovuti uliyo chagua mfano kama ni ALIEXPRESS, SOUQ, AMAZON (.com, .in, .uk ) au EBAY (.in, .com, .uk)

3. Nipe link ya hiyo bidhaa unayohitaji na uliyochagua.
Utanipa link kupitia email au whatsapp au PM

4. Nitaikagua link husika na Nitakujulisha gharama kwa TSH inayotakiwa kulipwa.

5. Utafanya malipo kwa utaratibu wa malipo uliowekwa.

6. Ndani ya dakika 5 - 45 tangu ufanye malipo nitakuwa nimelipia bidhaa yako na kukupa ushahidi wa:
- Payment Invoice,
- Picha (Screen shot) ya Bidhaa yako baada ya malipo kufanyika.
- Uthibitisho wa email niliyopokea baada ya muamala kukamilika.
- Hatua hii nitahitaji email yako au namba ya whatsapp ili kukutumia hivi vielelezo.
1537687955524.png
 
Share Facebook Twitter Pinterest 760+ Shares
$189.99

This item does not ship to Tanzania. Please check other sellers who may ship internationally.


Only 3 left in stock - order soon.

Ships from and sold by ReUseTek Electronics.

Qty: 1 2 3



$189.99






Add to Cart



Turn on 1-Click ordering for this browser

Deliver to Tanzania, United Repub...



Add to List





Other Sellers on Amazon
Add to Cart
$191.17
Sold by: LapTop Of The Line
Add to Cart
$209.99
& FREE Shipping on eligible orders.Details
Sold by: SKYTECH USA LLC
Add to Cart
$212.00
Sold by: MillenniumDeals
Certified Refurbished (9) from $189.99 & FREE shipping.
Have one to sell?Sell on Amazon

","width":"460"}" data-action="a-modal" class="a-declarative" style="box-sizing: border-box; text-decoration: none; color: rgb(0, 75, 145); position: absolute; top: 2px; right: 0px; display: inline-block; font: 11px Arial; cursor: pointer;">Ad feedback

  • 41JqBdpFk6L._SS40_.jpg
  • 41r8EoT9vcL._SS40_.jpg
  • 41IOBjWxFwL._SS40_.jpg
  • 41tGJutOLKL._SS40_.jpg
  • 41tGJutOLKL._SS40_.jpg


  • 61jyXGXrsvL._SX425_PIbundle-40,TopRight,0,0_SX425SY384SH20_.jpg
Roll over image to zoom in

Dell Latitude E6420 Laptop - HDMI - i5 2.5ghz - 4GB DDR3 - 320GB - DVD - Windows 10 64bit - (Certified Refurbishedd)
by Dell
3.5 out of 5 stars 233 customer reviews
| 130 answered questions



Price:$189.99






















  • This Certified Refurbishedd product is tested & certified to work like new by a Microsoft Authorized Refurbisher. The product includes charger.
  • Intel Core i5 2.5GHz;
  • 4GB RAM / 320GB Hard Drive;
  • 14.1" display;
  • Windows 10 Home 64bit.
See more product details

Compare with similar items




Certified Refurbished (9) from $189.99 & FREE shipp
@mwal. RCT mpaka kufika bongo inafika ela ngapi hii kitu
 
Dell Latitude E6420 Laptop - HDMI - i5 2.5ghz - 4GB DDR3 - 320GB
TZS 811,370

Hiyo ni ghalama ya kufikishamzigo nchini

Angalizo
- Iwapo mzigo utatakiwa kulipiwa VAT baada ya kufika nchini, uwe tayari kulipia
- Kiwango kitajulikana baada ya mzigo kufika.

Karibu
 
Back
Top Bottom