Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nitatumia hiyo DHL economy,nataka hiyo simu kwanza zile item nitanunua nikiipata simu kwanza.
sasa nipe total price kwa hela yetu ya madafu,unitumie na namba ya kumbukumbu ya malipo kwa PM
Nimepokea malipo uliyofanya.

Nitakupa update hivi karibuni.

Karibu
 
upload_2017-11-1_17-59-57.png

upload_2017-11-1_18-0-29.png
upload_2017-11-1_18-1-29.png

Ndani ya saa 24 hadi 72 nitakupa tracking Number, ili uwezer kuufuatilia mzigo kiukaribu zaidi.
 
Tahadhari Kuna Jamaa yangu ametumiwa Simu 4 Via USPS Priort Mail toka kwa ndugu yake aliyeko USA.
Mzigo ulilikuwa Packed katika box mbili tofauti kwa maana Kwamba kila box zimewekwa simu 2.
Mzigo ulichelewa sana kumfikia kule Zanzibar na hata ulipofika alifungua pale Kaunta na kukuta box zote hazina kitu licha ya kufungwa vizuri.
Hadi sasa jamaa anakabana na Posta Master kujua hatima yake maana ni mali ya Milioni 1.8 hivi
Ndugu zangu Posta ilikuwa ndiyo mkombozi wetu ila sasa naona kuna mijamaa inaturudisha nyuma kwa kukwapapua vitu vyetu.
Tuwe makini na mizigo ya thamani kubwa.
 
Tahadhari Kuna Jamaa yangu ametumiwa Simu 4 Via USPS Priort Mail toka kwa ndugu yake aliyeko USA.
Mzigo ulilikuwa Packed katika box mbili tofauti kwa maana Kwamba kila box zimewekwa simu 2.
Mzigo ulichelewa sana kumfikia kule Zanzibar na hata ulipofika alifungua pale Kaunta na kukuta box zote hazina kitu licha ya kufungwa vizuri.
Noted. Ahsante kwa kutushirikisha
 
Habari mkuu?

Naomba kufahamu gharama ya kuagiza kati ya hizi simu mpaka naipokea toka kwako ni sh ngapi?

1. Xiaomin mi6
2. Xiaomin redmi note 4
 
Habari mkuu?

Naomba kufahamu gharama ya kuagiza kati ya hizi simu mpaka naipokea toka kwako ni sh ngapi?

1. Xiaomin mi6
2. Xiaomin redmi note 4
upload_2017-11-2_16-42-4.png

1. Xiaomi Mi6 Mi 6 5.15-inch - Hili toleo HAKUNA 32GB
Snapdragon 835 Octa Core
4G Smartphone
6GB RAM

Xiaomi Mi6 Mi 6: 128GB ROM - TZS 1,138,487.6
Xiaomi Mi6 Mi 6: 64GB ROM - TZS 1,117,247.6

2. Xiaomi Redmi Note 4X 32GB - TZS 481416.4

Njia ya usafirishaji
- EMS Express
- Inachukua siku 7 - 14
- Ghalama tayari iko kwenye hiyo hesabu

NB: Ikitoke mzigo umezuiwa TRA, hapa nchini, uwe tayari kulipia kodi. Kiwango kitajulikana baada ya simu kufika

KARIBU
 
Hivi simu huwa kuna kodi maana hili linaumiza asee
Kwa bidhaa toka nje ya nchi, huwa kuna baadhi ya bidhaa hazina kodi, na zingine zikiwa na kodi.

Ikitokea simu ikapita bila kudaiwa kodi itakuwa ni nafuu.

Hivyo ni kujiweka tayari.

Karibu
 
Back
Top Bottom