Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

upload_2017-10-22_8-28-50.png


TZS 464,141.2
 
Mkuu hii ni full mchina? Au ni nzuri?
Inategemea na hitaji la nini zaidi kwenye simu, Hii simu ina betri ndogo. Hivyo kwa matumizi makubwa haitofaa

Ila kwa pendekezo ni vyema ukatafuta hizi simu
- Xiaomi : Ni simu bora zaidi toka china,
- Oukitel: Sifa ya hizi simu ni UNACHAJI KWA WIKI MARA MOJA, Zina betri kubwa kuanzia 6000mah hadi 10000mah
 
Pia Mwl. RCT naomba msaada wa online market za Dubai au nyingine nzuri ukiacha eBay, Amazon, aliexpress. Nimejaribu hawa Gee wish, naona hawatumi mzigo Tanzania
 
online market za Dubai
Souq .com ni bora zaidi
Nimejaribu hawa Gee wish, naona hawatumi mzigo Tanzania
Ni kweli online store nyingi za dubai hawatumi Tanzania,
Hapo ndipo inakuja umuhimu wa hii HUDUMA ya BUY4ME, ambapo naweza kukununulia iwe ni DUBAI au sehemu nyingine yeyote, na mzigo utakufikia Tanzania.

Karibu
 
Back
Top Bottom