Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Hiyo simu ina support 4G??? Nafungua link ila sioni
Xiaomi Mi 5X 5.5 inch

-4G LTE Smartphone 4GB 64GB
-Snapdragon 625 Octa Core Dual
-12.0MP Cam
-MIUI 8.5 Android 7.1
-Metal Body Touch ID VoLTE- Black

SAHIHI, INA_SUPPORT 4G
 
Ona support Simcard 1 ama mbili?
Ina support simcard mbili iwapo hautoweka Memory card.
Na iwapo utaweka memory card basi utaweka simcard moja.

Ila kwa kuwa ina 64GB ROM, sizani kama memory card itahitajika, Hivyo utakuwa unatumia SIMCARD MBILI
 
Mwl RCT, nakusubiria hapa!
upload_2017-11-18_10-46-49.png

Sio site sahihi kufanya manunuzi - Bei hazina uhalisia

Angalia AMAZON. COM na utapata laptop unayohitaji kwa bei stahiki.

Kwa aina hiyo ya laptop uhalisia wa bei ni huu USD 1,000
upload_2017-11-18_10-49-16.png
 
Ina support simcard mbili iwapo hautoweka Memory card.
Na iwapo utaweka memory card basi utaweka simcard moja.

Ila kwa kuwa ina 64GB ROM, sizani kama memory card itahitajika, Hivyo utakuwa unatumia SIMCARD MBILI
Mkuu mie nahitaji simu yenye 256GB ila isiwe Iphone
 
safi, nami nitafanya hivyo

Karibu

emoji778.png
NJIA ZA MAWASILIANO


Wasiliana nami kwa moja ya hizi njia
1. Kupiga simu/ Kutuma ujumbe: 0717 54 57 62 au 0768 92 48 41 au 0784 496 856
2. Barua Pepe (Email): mw1rct @ outlook.com
3. Whatsapp: +255 784 496 856
4. Skype: mw1rct
5. Telegram: @mw1rct

emoji778.png
MUDA WA KUWASILIANA NAMI

1. 06:00 – 19:30hr (Saa 12:00 asubuhi HADI Saa 1:30 Usiku)– Simu/sms/whatsapp/telegram - Utajibiwa
2. 19:30 – 06:00hr (Saa 1:30 usiku HADI Saa 12:00 asubuhi)– Niachie ujumbe wa simu (sms)/whatsapp/telegram/email, Na utajibiwa au kupigiwa simu kabla ya 08:00hr Kila siku.
 
Back
Top Bottom