Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Apple MacBook Pro 13.3"- 2012 LED Intel i5-3210M Core 2.5GHz 4GB 500GB Laptop MD101LLA

TZS 1,416,849.6 ( Ndani ya wiki 3 mzigo unakuwa umefika toka USA)

upload_2017-9-30_15-56-35.png
upload_2017-9-30_15-56-56.png
 
Mwalimu habari ya kazi
naomba uniangalizie hizi GPU, ni Low Profile ghraphics cards GTX 750 ti na hiii Low Profile Gtx 1050,nataka used niko kwenye very tight budget sanaaaa, naomba uniangalizie unipe mrejesho
 
Mwalimu habari ya kazi
naomba uniangalizie hizi GPU, ni Low Profile ghraphics cards GTX 750 ti na hiii Low Profile Gtx 1050,nataka used niko kwenye very tight budget sanaaaa, naomba uniangalizie unipe mrejesho
Fuata hiz taratibu

Hatua ya kwanza: NIPE LINK YA Low Profile ghraphics cards UNAYOHITAJI

Hatua ya pili: NITAKUPA GHALAMA KWA TZS

Hatua ya Tatu: UTAFANYA MALIPO

Hatua ya Nne: MANUNUZI YATAFANYIKA NA UTHIBITISHO UNAPEWA

Hatua ya Tano: Ni kusubiri mzigo ufike TZ

Hatua ya Sita:
- Utapewa taarifa baada ya mzigo kufika - kwa kupigiwa simu
- Utafanyika utaratibu wa wewe kuja kuchukua DSM (kama upo Dar) au kutumiwa kwa EMS kama upo nje ya DAR

- NB: Iwapo mamlaka husika itaushikiria mzigo wako na kutakiwa kulipia KODI / VAT utapewa taarifa, UWE TAYARI KULIPIA kodi/ vat.

KARIBU
Whatsapp +255 784 496 856
 
Kuifikisha nchini ni TZS 3,011,666.8

Itachukua kati ya siku 5 hadi 9.
upload_2017-10-6_3-57-44.png

- Ikifika nchini huwa kuna malipo ya VAT, mamlaka husika itatujulisha baada ya mzigo kufika nchini.

Karibu
Whatsapp: +255 784 496 856
Niko interested na hii computer

Lenovo - 2-in-1 15.6" Touch-Screen Laptop - Intel Core i7 - 16GB Memory - 1TB Hard Drive + 256GB Solid State Drive - Onyx black
Iko bestbbuy link: https://www.bestbuy.com/site/lenovo...tate-drive-onyx-black/5799326.p?skuId=5799326
Naomba total costs
 
Sema bajeti yako inaangukia kwenye kundi lipi la hizi bei.
upload_2017-10-14_10-24-0.png

Kishja nikupe pendekezo na bei ya simu sahihi inayolingana na thamani ya fedha yako.

Pamoja na full specification za simu husika.

Karibu

Whatsapp: 0784 496 856
 
Mwalimu habari ya kazi
naomba uniangalizie hizi GPU, ni Low Profile ghraphics cards GTX 750 ti na hiii Low Profile Gtx 1050,nataka used niko kwenye very tight budget sanaaaa, naomba uniangalizie unipe mrejesho
Habari
Mzigo wako umefika Tayari
upload_2017-10-18_14-40-13.png

- Fuata maelekezo whatsapp uje uchukue mzigo wako.
- Ahsante kwa kuchagua huduma ya BUY4M

KARIBU
 
Mwl mm ni mtumiaji mzr wa Ebay na AliExpress na tayri nimeshafny purchase mara kadhaa, everything went well as expected. Juzi nikaamua kuhamia Amazon, strange thing happened, kwny bei ukitoa gharama za bidhaa ynyew na shipping fee naona wamecalculate na TAX

Nnavyojua pale posta mzgo chini ya 2kgs haulipiwi kodi,
Huo wa kwangu ni above that.

Sasa swali langu ni je? Mzgo ukifka hapa bongo pale posta hawatanilima tena mambo ya TRA cause nilijuta mzgo wangu wa kwanza kuja nililimwa kodi kubwa adi nikajuta.
Msaada please.
 
Juzi nikaamua kuhamia Amazon, strange thing happened, kwny bei ukitoa gharama za bidhaa ynyew na shipping fee naona wamecalculate na TAX
Kuna baadhi ya majimbo USA huwa na Tax na Mengine ni Tax free (Viz: Alaska, Delaware, Montana, New Hampshire) hii ni moja.
Pili kuna baadhi ya Bidhaa ukinunua ndani ya USA huwa kuna tozo la kodi, na hii utaiona wakati unafanya malipo
Nnavyojua pale posta mzgo chini ya 2kgs haulipiwi kodi,
Huo wa kwangu ni above that.
Kwa uzoefu kidogo niliokuwa nao iko hivi.
- Waweza kuwa na mzigo chini ya 2Kg, ila unathamani kubwa, iwapo utafuata hatua za ukaguzi stahiki, Lazima ulipie kodi.
- Waweza kuwa na mzigo zaidi ya 2Kg, usilipie kodi, ila ukatakiwa kulipia fedha ya stemp ambayo huwa haizidi TZS 3,500 (Sio mara zote hili kujitokeza)
Sasa swali langu ni je? Mzgo ukifka hapa bongo pale posta hawatanilima tena mambo ya TRA cause nilijuta mzgo wangu wa kwanza kuja nililimwa kodi kubwa adi nikajuta.
Reje maelezo hapo juu.
Kulipa kodi ndani ya USA, si kigezo cha kutokulipa kodi hapa nchini kwa mzigo unaopaswa kulipiwa kodi.
Ni vyema ukajiandaa kwa kulipa kodi
Na ikitokea mzigo ukatoka bila kudaiwa kodi basi itakuwa ni faida kwako.

KARIBU
 
Back
Top Bottom