Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

1629893995603.png

---
1629894033065.png

--

AGM M7 4G LTE​

-Rugged Phone Unlocked
-4G LTE Dual SIM Phone with 35mm Super Speaker
-IP68/IP69K Waterproof
-2.4" Touch Screen
-1GB+8GB 2500mAh Battery
Code:
Bei TZS. 461,550 hadi kuifikisha Tanzania
https://www.amazon.com/gp/product/B094CY4C63/ref=ppx_yo_dt_b_asin_title_o00_s00?ie=UTF8&psc=1
---
1629894275927.png

1629894543089.png
 
CHF 2.72 30% Off | 1Pc Fashion Vintage Cowboy Hat Western Style Suede Wide Brim Jazz Hat Felt Fedora Hats Fancy Dress Accessory for Men Women
2.99€ 30% OFF|1Pc Mode Vintage Cowboy Hut Westlichen Stil Wildleder Breite Krempe Jazz Hut Fühlte Fedora Hüte Fancy Kleid Zubehör für männer Frauen|Men's Cowboy Hats| - AliExpress bei ya pisi 10 mwalimu tafadhari. Na vipi namba yako bado ipo whatsapp ulishawahi kuniletea mzigo mwanza
1630720409671.png

Huyu muuzaji hatumi direct Tanzania

Iwapo mzigo utapitia kwanza nchi nyingine, kihsa ndio uje Tanzania, freight cost itakuwa kubwa zaidi.

Hivyo angalia muuzaji mwingine.

1630720519503.png

1630720685187.png
 
Massa

Tutachukua kwa huyu muuzaji
1630726386204.png

Code:
 https://www.aliexpress.com/item/4001165586265.html?spm=a2g0o.productlist.0.0.7cac5815xMSzsW&algo_pvid=eb74432c-9f2c-4129-af78-4242f8af663d&algo_exp_id=eb74432c-9f2c-4129-af78-4242f8af663d-16

Kofia moja ni TZS. 30,753

Rangi alizonazo ni hizi
1630726364034.png


Chagua namba (Rangi) na idadi kwenye hii picha
 
Idadi 5 gharama hadi mwanza tafadhari
TZS. 173,765

Muda: Wiki Tatu

Njia ya malipo: Bank Deposit

Update za shipment utapewa inbox

---
 
TZS. 173,765

Muda: Wiki Tatu

Njia ya malipo: Bank Deposit

Update za shipment utapewa inbox

---

Hakuna njia nyingine ya kulipia zaidi ya bank? Namba yako ya tigopesa haifanyi kazi tena?
 
Habari ndugu zeus47

Huwa kuna restriction kwenye usafirishaji wa Perfumes toka USA/ UK kuja Tanzania.

Hivyo haitawezekana kufanya haya manunuzi.
 
Back
Top Bottom